Mpende mke wako mzuri

Mpende mke wako mzuri

Hizi quotation labda kama una bibilia yako ya kipekee maana sura na mistari ulizonukuu hazikuandikwa hivyo hata moja. Kwanin unapotosha watu wakati tunasoma biblia pia?
 
Tunashukuru kwa upotoshaji wako ila ingependeza Zaidi ukasema unatumia biblia uliyoianzisha wewe mwenyewe kwa ajili ya kanisa lako na si kanisa la Kristo Yesu

Nimerekebisha na kuweka quotation za kweli kutoka kwenye biblia ambazo nimezibold

Mpende mke wako mzuri
Usimkaripie mke wako ukiwa unaongea nae. Inamuumiza sana.
Mithali 15:1
Mithali 15:1 Jawabu la upole hugeuza hasira; Bali neno liumizalo huchochea ghadhabu.

Usimuongelee ubaya kwa mtu yeyote. Mke wako atakua kile ambacho unamuita
Mwanzo 2:19
Mwanzo 2:19 Bwana Mungu akafanyiza kutoka katika ardhi kila mnyama wa msituni, na kila ndege wa angani, akamletea Adamu ili aone atawaitaje; kila kiumbe hai, jina alilokiita Adamu likawa ndilo jina lake.

Usimpe mwanamke mwingine upendo anaostahili mke wako. Huo ni uasherati.
Matayo 5:28
Matayo 5:28 lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

Usimlinganishe mke wako na mwanamke mwingine. Kama huyo mwanamke alikua anakufaa basi Mungu angekupa umuoe
2wakorinto 10:2
2wakorinto 10:2 naam, naomba kwamba nikiwapo, nisiwe na ujasiri kwa uthabiti ambao nahesabu kuwa nao juu ya wale wanaodhania ya kuwa sisi tunaenenda kwa jinsi ya mwili.

Uwe mpole, mvumilivu na msikivu. Amevumilia mengi na amejitolea na ameacha vingi ili awe pamoja nawe. Inamuumiza sana unapokua mkali na kumkera
Waefeso 4:2
Waefeso 4:2 kwa unyenyekevu wote na upole, kwa uvumilivu, mkichukuliana katika upendo;

Usimfiche chochote. Mmekua kitu kimoja na hivyo ni msaidizi wako, usiweke siri yoyotr kati yenu
Mwanzo 2:25
Mwanzo 2:25 Nao walikuwa uchi wote wawili, Adamu na mkewe, wala hawakuona haya.

Usiseme kitu kibaya kuukosoa mwili wake. Amejitolea uzuri wake na mwili wake kukuzalia ww watoto. Ni binadam pia mwenye moyo, sio mwili tu.
Mithali 18:22
Mithali 18:22 Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana.

Usiulinganishe mwili wake na thamani yake. Mthamini hata pale mtakapofikia uzee
Waefeso 5:29
Waefeso 5:29 Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa.

Usimkaripie kwenye umati wa watu. Suluhisheni matatizo yenu chumbani mkiwa wenyewe.
Matayo 1:19
Matayo 1:19 Naye Yusufu, mumewe, kwa vile alivyokuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri.

Mshukuru kwa kuwalea watoto wenu vizuri, nyumba yako pamoja na wewe. Kwani amejitolea kufanya hayo yote.
1wathesalonike 5:18
1wathesalonike 5:18 shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.

Mapishi ya wanawake hayafanani. Furahia mapishi ya mke wako. Sio rahisi kumpikia mtu milo mitatu kwa siku kwa siku 365 kwa mwaka kwa miaka mingi mlioishi wote
Mithali 31:14
Mithali 31:14 Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.

Usiwaweke ndugu zako kabla yake. Yeye ni mke wako. Ndiye anaekaa na ww. Lazma umpe kipaombele kabla ya ndugu zako.
Mwanzo 2:24
Mwanzo 2:24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.

Wekeza katika ukuaji wake kiroho. Mnunulie vitabu, na chochote ambacho kitamsaidia kukua kiroho atembee na Mungu siku zake zote. Hicho ndicho kitu cha pekee unachoweza kumfanyia mke wako.
Waefeso 5:26
Waefeso 5:26 ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno;

Tumia mda wako ukiwa nae kujifunza bibilia na kusali
James 5:16
James 5:16 Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii.

Tenga mda wa kukaa nae, kucheza nae na kufurahia uwepo wake. Kumbuka, utakapofariki, yeye ndiye ataaesimama pembeni ya kaburi lako. Huenda marafiki zako wakawa na kazi nyingi na kushindwa kuhudhuria.
Mhubiri 9:9
Mhubiri 9:9 Uishi kwa furaha pamoja na mke umpendaye, siku zote za maisha yako ya ubatili, ulizopewa chini ya jua; siku zote za ubatili wako, kwa maana huo ni sehemu yako ya maisha; na katika taabu zako ulizozitaabika chini ya jua.

Usitumie pesa zako kumrubuni au kumpelekesha. Pesa zako ni za kwake pia. Mmekua kitu kimoja na ni mrithi wa kila ulicho nacho ulieunganishwa nae na Mungu.
1peter 3:7
1peter 3:7 Watoto wadogo, mtu na asiwadanganye; atendaye haki yuna haki, kama yeye alivyo na haki;

Usifichue madhaifu yake. Utakua unajifichua na ww. Mlinde.
Ephesians 5:30
Ephesians 5:30 Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake.

Waheshimu wazazi wake na kuwa na moyo wa upole kwa ndugu zake.
Wimbo ulio bora 8:2
Wimbo ulio bora 8:2 Ningekuongoza nyumbani mwa mamangu, Naye angenifundisha; Ningekunywesha divai iliyokolea,Divai mpya ya mkomamanga wangu.

Usiache kumuambia ni jinsi gani unampenda kila siku ya maisha yake. Mwanamke hachoki kusikia hilo.
Ephesians 5:25
Ephesians 5:25 Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;

Kua katika njia ya Mungu, ndicho kitu kitakacho kufanya uwe mume bora na mwenye hofu ya Mungu.
Warumi 8:29.
Warumi 8:29 Maana wale aliowajua tangu asili, aliwachagua tangu asili wafananishwe na mfano wa Mwana wake, ili yeye awe mzaliwa wa kwanza miongoni mwa ndugu wengi.
 
Umenikonga nyoyo haya ndo mambo yanzhitajika

nahis jesus christ na mtume peke yao ndio wanaweza kuyafata hayo mambo kwa asilimia 100
 
Umenikonga nyoyo kwa kazi nzuri sidhani kama atarudi na huu uzi kiviele wa watu
Lengo Langu Kusoma Biblia

Kuwadanganya Kwangu Ni Wazi Mmeenda kufungua Biblia na mmesoma Basi lengo Langu Limetimia
Uzur sijatumia Maneno ya kiblibia kwa ubaya
 
😀
Huyu si ndo kwenye kila post anazungumzia pombe. Utasikia " zungusha moja moja kwa wana jf" ambiele kiviele wewe
Ndiyo huyu huyu, nadhani huwa analewa mwili na si akili
 
Lengo Langu Kusoma Biblia

Kuwadanganya Kwangu Ni Wazi Mmeenda kufungua Biblia na mmesoma Basi lengo Langu Limetimia
Uzur sijatumia Maneno ya kiblibia kwa ubaya
Kubali tu kuwa umerekebishwa yaishe. Watu hawaelekezwi kusoma biblia kwa quotations za uongo uongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom