Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,960
Kwani Mpendazoe ametokea usalama wa Taifa?Ni jumapili nimetoka ibadani, nipo hapa nyumbani, limenijia wazo hili ambalo linanisumbua kichwa changu, Hivi kweli Mpendazoe sio Mrithi wa Mrema? Urithi ninaozungumzia hapa ni ule wa kazim, kutokana na ukweli kwamba sasa Mrema anaelekea kurudi CCM baada ya kuvidhoofisha kabisa vyama vya upinzani. Je kuna uwezekano kuwa CCM wameamua kumtafuta mrithi wa Mrema ili kuendeleza jahazi??
Juzi kakimbilia CCJ, leo kakimbilia CHADEMA! Kesho haijulikani ni wapi, labda ni sehemu itakayoonekana inaleta upinzani wa kweli? Nisaidieni jamani, hivi kweli Mpendazoe sio Mrithi wa Mrema CCM? Kujibu swala hili linganisha kazi za Mrema na anazofanya Mpendazoe sasa...
Jumapili njema
Ni jumapili nimetoka ibadani, nipo hapa nyumbani, limenijia wazo hili ambalo linanisumbua kichwa changu, Hivi kweli Mpendazoe sio Mrithi wa Mrema? Urithi ninaozungumzia hapa ni ule wa kazim, kutokana na ukweli kwamba sasa Mrema anaelekea kurudi CCM baada ya kuvidhoofisha kabisa vyama vya upinzani. Je kuna uwezekano kuwa CCM wameamua kumtafuta mrithi wa Mrema ili kuendeleza jahazi??

huyu jamaa wala hajatumwa ila kajitoa mhanga kwa ajili ya taifa hili. kumbuka aliachia ubunge na mafao kibao akijitetea kwamba mafao kwake si muhimu kuliko mustakabali wa watanzania.
mrema alifukuzwa kazi kwa kuvunja dhana ya uwajibikaji wa pamoja ndani ya baraza la mawaziri ambalo yeye alikuwa mjumbe; mpendazoe aliondoka mwenyewe ccm kwa kuchoshwa na kila alichokiita chama hicho kutetea ufisadi na wanaofanya ufisadi.
Acha upuuzi ameacha mafao gani?