Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 2,881
- 4,884
Sawa ila wewe maumivu unayapata wapi kwani wewe ndo balozi wa hilo eneo au?Habari za weekend wana MMU...
Nimeamua nitoe taarifa katika jukwaa hili pengine huyu mpemba atapata ujumbe aje kufumania,
Kuna dogo mmoja amehamia chumba cha kwenye nyumba uliyopangishia mke wako mdogo maeneo ya tabata jirani na St Mary's, huyu dogo amemgeuza mke wako kuwa wa kwake yani ni anamtafuna muda wowote anaotaka, hasa nyakati za usiku yani mke wako anahamia kwake kabisa, dogo anamfaidi sana.
Ina niuma kama mim ndo natafuniwa yani, alaf we naye unamuacha sana, yani kwa mwez unaweza kuja mara moja au mara mbili na pengine usije kabisa, sijui una wake wangapi we jamaa.. Kama huwez kuwahudumia kwa nini uliwaoa?
Bro watu hawaogopi mpemba wala muunguja, wanatafuna huku, kidogo chenyewe kimetoka chuo juzi damu bado inachemka kinampagawisha kweli mkeo...
Nawasilisha
Mwanamke mmoja kichwa kinaniuma... Watu wanapata wapi ujasiri wa kuoa wanawake zaidi ya mmoja? Hapo ndio huwa sielewi.
Ungepost Facebook kwenye page ya CUF huu ujumbe ungemfikia lakini kuleta huku ni kama kutafuta msichani bikira, Bar.Habari za weekend wana MMU...
Nimeamua nitoe taarifa katika jukwaa hili pengine huyu mpemba atapata ujumbe aje kufumania,
Kuna dogo mmoja amehamia chumba cha kwenye nyumba uliyopangishia mke wako mdogo maeneo ya tabata jirani na St Mary's, huyu dogo amemgeuza mke wako kuwa wa kwake yani ni anamtafuna muda wowote anaotaka, hasa nyakati za usiku yani mke wako anahamia kwake kabisa, dogo anamfaidi sana.
Ina niuma kama mim ndo natafuniwa yani, alaf we naye unamuacha sana, yani kwa mwez unaweza kuja mara moja au mara mbili na pengine usije kabisa, sijui una wake wangapi we jamaa.. Kama huwez kuwahudumia kwa nini uliwaoa?
Bro watu hawaogopi mpemba wala muunguja, wanatafuna huku, kidogo chenyewe kimetoka chuo juzi damu bado inachemka kinampagawisha kweli mkeo...
Nawasilisha
Kwani hakuna wapemba hukuUngepost Facebook kwenye page ya CUF huu ujumbe ungemfikia lakini kuleta huku ni kama kutafuta msichani bikira, Bar.
Kumbe ndo wewe
Kwahiyo bro ukaona nafaiidi mwenyewe?
Utapata jibu tu.Kwani hakuna wapemba huku