Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 2,879
- 4,881
Habari za weekend wana MMU...
Nimeamua nitoe taarifa katika jukwaa hili pengine huyu mpemba atapata ujumbe aje kufumania,
Kuna dogo mmoja amehamia chumba cha kwenye nyumba uliyopangishia mke wako mdogo maeneo ya tabata jirani na St Mary's, huyu dogo amemgeuza mke wako kuwa wa kwake yani ni anamtafuna muda wowote anaotaka, hasa nyakati za usiku yani mke wako anahamia kwake kabisa, dogo anamfaidi sana.
Ina niuma kama mim ndo natafuniwa yani, alaf we naye unamuacha sana, yani kwa mwez unaweza kuja mara moja au mara mbili na pengine usije kabisa, sijui una wake wangapi we jamaa.. Kama huwez kuwahudumia kwa nini uliwaoa?
Bro watu hawaogopi mpemba wala muunguja, wanatafuna huku, kidogo chenyewe kimetoka chuo juzi damu bado inachemka kinampagawisha kweli mkeo...
Nawasilisha