Mpemba Akitongoza

Roza;699609]hih ihiih ihihi so funny!

what about this one??

[/QUOTE]

hahahaaaa mbavu sina kwa kweli hawajamaa wapo juu kwa jinsi wanavyojua kutunga vitu adimu siwawezi
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Hawa wapemba hivi wanaweza kitu au ni kujisifu tu, maana najua hawa watu ni legelege kazi hawawezi au mwaonaje wanajamii wenzangu...
 

Haa X-PASTER n-jiga laawa ilii, sebu tongozozo miye, hapa kujili moja tu, kuchat

(Haya huyu X-PASTER ni jibaba/njeba la wapi hili, sitaki unitongoze mie, hapa nimekujia moja tu, kuchati)
 
Hawa wapemba hivi wanaweza kitu au ni kujisifu tu, maana najua hawa watu ni legelege kazi hawawezi au mwaonaje wanajamii wenzangu...

fanya majaribio kwa mpenzio halafu kama akirudi kwako tena weye utakuwa una DNA ya kipemba
 

hahahahaha....tartiiiiibu
 

ntotoo chukua embe hili tukatiane weyee unchukue pande moja na pane moja yakhee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…