Ntoto weyee wallahi wanimaliza'aa... Unrefu kama nkarafu'u Mashallahu... Wang'ara kama embe boribo'o... nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo'o... kifua kimetuna kama nazi koroma'a... ntumee! miguuyo injaa kama ndizi yankono wa tembo'o... he!
Nifikiriee mwenzio naumiaa miye....e....e!
Asante Mkuu unajuwa (elewa)wazungu hasa watawala wetu ukimwambia Nice legs au nywele nzuri umependeza wanafurahi sana na kukuona wewe ni mtu wa maana kuona uzuri wake na atakupa thank you, kwani ametumia wakati kushevu miguu au kwenda saloon kutengeneza nywele ,sasa na sisi wapemba (zanzibar)tumerithi kwa wazazi wetu kutumia maneno ya matamu (mahaba) kwa maana nyingi wanasema maneno matamu humtowa nyoka pangoni,mwisho hatukuzoweya kutongoza mwamke kwa kumwambia na ku mind ,hapo umesha tongoza inakuwa imetoka that very (cheap)au kumwambia nakununulia beer kwa maana nyingine unamwambie indirect I want your body 2nite akinywa beer ndio imetoka hiyo hakuna (no class)akisha maliza kunywa hakuna mazungumzo nisafari ya kwenda ku Legs over sasa matongozaji hayo wapi nawapi na sisi mkuu mwanamke anataka ajihisi ume prishieti umbile lake,mapodozi bila ya kusahau na jinsi alivyo jipura.
Sasa wewe unaongea madudu gani tena?
Ntoto weyee wallahi wanimaliza'aa... Unrefu kama nkarafu'u Mashallahu... Wang'ara kama embe boribo'o... nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo'o... kifua kimetuna kama nazi koroma'a... ntumee! miguuyo injaa kama ndizi yankono wa tembo'o... he!
Nifikiriee mwenzio naumiaa miye....e....e!
Ntoto weyee wallahi wanimaliza'aa... Unrefu kama nkarafu'u Mashallahu... Wang'ara kama embe boribo'o... nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo'o... kifua kimetuna kama nazi koroma'a... ntumee! miguuyo injaa kama ndizi yankono wa tembo'o... he!
Nifikiriee mwenzio naumiaa miye....e....e!
Nani kakwambia utani umekatazwa kwenye dini? cheka unenepe nduguPASTER naimani unajuta hivi sasa kwani mara zote umekuwa ni mtu wa kuwa karibu na madili mazuri ya Mmungu,lakini katika maongezi yako ya leo umeanzisha mambo ya kimajabu matokeo yake unayaona Mmungu atakupa tahafif na akusamehe kwa machafu yeyote yatakayotokea katika mjadala huu
Nani kakwambia utani umekatazwa kwenye dini? cheka unenepe ndugu
Sonara, samahani kwa kusababisha mtafaruki nafsini mwako.PASTER naimani unajuta hivi sasa kwani mara zote umekuwa ni mtu wa kuwa karibu na madili mazuri ya Mmungu,lakini katika maongezi yako ya leo umeanzisha mambo ya kimajabu matokeo yake unayaona Mmungu atakupa tahafif na akusamehe kwa machafu yeyote yatakayotokea katika mjadala huu
Roza;699609]hih ihiih ihihi so funny!
Kwani wapemba wanakunywaga bia?Asante Mkuu unajuwa (elewa)wazungu hasa watawala wetu ukimwambia Nice legs au nywele nzuri umependeza wanafurahi sana na kukuona wewe ni mtu wa maana kuona uzuri wake na atakupa thank you, kwani ametumia wakati kushevu miguu au kwenda saloon kutengeneza nywele ,sasa na sisi wapemba (zanzibar)tumerithi kwa wazazi wetu kutumia maneno ya matamu (mahaba) kwa maana nyingi wanasema maneno matamu humtowa nyoka pangoni,mwisho hatukuzoweya kutongoza mwamke kwa kumwambia na ku mind ,hapo umesha tongoza inakuwa imetoka that very (cheap)au kumwambia nakununulia beer kwa maana nyingine unamwambie indirect I want your body 2nite akinywa beer ndio imetoka hiyo hakuna (no class)akisha maliza kunywa hakuna mazungumzo nisafari ya kwenda ku Legs over sasa matongozaji hayo wapi nawapi na sisi mkuu mwanamke anataka ajihisi ume prishieti umbile lake,mapodozi bila ya kusahau na jinsi alivyo jipura.
akikuibukia unamkubali??hih ihiih ihihi so funny!