Mpelekee yule dada bia . . .

Madam,
'
Mwanamke anabebeshwa masaibu yepi ya mwanaume?
'
Hivi ulishaona mtu aliyekunywa kilevi akaukontrol mwili au tamaa?
'
Hapa kitakua kama kile kichekesho cha mwendawazimu na mwenye akili timamu
'
Mwendawazimu kamkuta mwenye akili anaoga mtoni,akachukua nguo zake akakimbia nazo
'
Mwenye akili timam akaanza kumfukuza akiwa uchi,wapita njia wakadhani alie uchi ndo mwenye matatizo ya akili
'
Wakamkamata wakamfunga kamba!
'
Hapa mwenye utimam wa akili alitakiwa atumie busara na sio kufukuzana na kichaa barabarani
'
Madam,tupo pamoja?
 
Eiyer, kwa hiyo mwanamke alipie makosa ya mlevi kushindwa kuji-control?

Hivi ulevi ni ulemavu wa akili?
 
Last edited by a moderator:
Heheh...ndio kitu cha thamani kuliko vyote ukiwa BAR, ndio maana hutumika kama offer Konnie wala sio zereu

He he he, vya watu vyenyewe bia jamani? Si zereu hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…