Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,625
wanume tunamatatizo sana wakuu.utakuta kidume kinalalama eti mke wake hajui kukatika
alafu anasimulia anasema staili ni kifo cha mende anamlalia mkewe Huku ana kitambi kikubwa kama mimba ya mapacha anambana mkewe ndindindi. nafasi ya kukata atapata wapi?
au dog style alafu umekamata kiuno kwa nguvu kana kwamba umekamata gari ambalo umedandia kukimbia mabomu ya polosi.
eti Miss Natafuta kwa hivi utaweza mtu kukatikiwa na mkeo ?
lazima umpe nafasi mkeo
hahahhaHamma bana.wengi hawajui hii kitu. We unashughulika halafu yeye anachati na mwanahawa.
Ukikuta mtu ana simulia mambo ya chumbani tambua ana mapungufuwanume tunamatatizo sana wakuu.utakuta kidume kinalalama eti mke wake hajui kukatika