Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha.............
Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama
Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.
Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ilikuwa haijakaa.
Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo
Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?
Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM
Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!
Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Time will tell...Ikiwa yalisemwa ajipime, si anaona ana uwezo, hata 10% hapati. Ataishia kubweka mitandaoni
Sasa Kumekucha
Jogoo Limewika Dodoma
Na pale hakuwapo mwanakijiji, alikuwa yeye na mpigapicha wake na yule alokaa pembeni, wakitumia sauti za kulekodi kwenye computer,Membe aliyoyasema kwenye mkutano wake na wanakijiji pamoja na majirani zake, huko kwao - yalikuwa yamelenga kuwafurahisha hao wanakijiji tu.
Na yeye mwenyewe kujisikia bado anapendwa na wanakijiji. Si vinginevyo.
Kwa muanguko huo kwenye ngazi lazima uone hizo ngazi kama watu wanakushambulia hasa kama umeweka mitungi kwenye mwili.
WaberoyaMbobezi hakuweza kuzuia katiba kuvunjwa????
Wasipomjibu utawafanya nini??
Jenga kwako
Nguvu ya JPM haina mpinzani ndani au nje
Sio vizuri kukosa upinzani ndani au nje, ila hawapo
Mwenzio anakanusha maneno yake umebaki gizani
Alajibu keshi bagaiwa nehojaJibu hoja ya utaratibu ndani ya CCM.
kada wa ccm....... apewe kura za ndiyo.Sasa Kumekucha
Jogoo Limewika Dodoma
Ni sahihi mkuu na naamin huyu jamaa atakuwa na bahati sana kutoka salama kwenye hili. Kwa kawaida dola zina nguvu sana na zinaweza kufanya chochote na kwa yoyote. Kwa dunia ya tatu ambako unakuta dola zimejaa chuki na visasi hali huwa ni ya hatari zaidi wakikushndwa mchana basi watakusaka hata huko gizani wakumalize.Yaani sikujua kuwa Membe pamoja na sifa zote zile ni mjinga kiasi hicho. Lowassa alikuwa smart sana kuliko huyu jamaa lakini amefyata mkia kutokana na infrastracture ya CCM - wanajuana humo ndani. Huyu ni frustrations tu za kukosa madaraka ndizo zinazomsumbua kam Lowassa alivyosumbuliwa. Yaani anaamanini kuwa ana nguvu kwenye Halmashauri kuu ya CCM wakati mwenyekiti wake ni huyo huyo anyempinga? Wenye busara walisema akikushinda, shirikiana naye, usijaribu kunyang'anyana upanga na mtu aliyeshika mpini wake. Kiongozi anayekosa busara hiyo hafai kabisa kupewa madaraka ya nchi. Hata Kikwete alishirikiana na Mkapa kwa miaka kumi, hakupambana naye na mwishowe ndiyo akapata nafasi yake. membe bado ana nightmares za 2015
Sasa unataka ajibiwe kama nani? Angekuwa mwana CCM sawa, vinginevyo hatuna muda wa kumjibu kila mtu.Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha.............
Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama
Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.
Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ilikuwa haijakaa.
Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo
Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?
Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM
Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!
Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Jamani mnashindwaje kuelewa kwamba Membe anatumika kama alivotumika Lowasa. Yaani ni chambo flani hivi.Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha.............
Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama
Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.
Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ilikuwa haijakaa.
Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo
Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?
Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM
Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!
Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Ni Mungu pekee ajuaye siku za kuishi kwetu hapa dunianiNi sahihi mkuu na naamin huyu jamaa atakuwa na bahati sana kutoka salama kwenye hili. Kwa kawaida dola zina nguvu sana na zinaweza kufanya chochote na kwa yoyote. Kwa dunia ya tatu ambako unakuta dola zimejaa chuki na visasi hali huwa ni ya hatari zaidi wakikushndwa mchana basi watakusaka hata huko gizani wakumalize.
Huyu jamaa angetulia tu, kama anakubalika angerudi tu 2025 au hata miaka ya huko mbeleni, wkt watu wamebadilika na siasa zipo kivngine.
Mbona Wade wa kule west afrika alipata urais akiwa na miaka zaidi ya 70 au huyu rais wa sasa wa sauzi kuna wkt alitengwa kabisa na watawala, lakn yeye hakupimana ubavu na kujibishana na watawala alikaa pembeni kabisa akawa kimya kwa miaka mingi tu lakin leo hii jamaa ndo kakamata nchi.
Wakat mwngne subra huvuta heri.
Katiba ipi ifuatwe wakati walishamilikisha chama kwa mtu binafsi, mmiliki wa chama ndie mwenye maamuzi.Huwa hawaelewi wameshachelewa wao watulie tu.Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...
Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama
Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.
Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ilikuwa haijakaa.
Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo
Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?
Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM
Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!
Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Mwenye chama ndie mwenye maamuzi na si wanachamaWaberoya
Jibu hoja usilete mipasho.......
Je ndani ya Katiba ya CCM, ndivyo utaratibu unavyotakiwa kufanywa kama alivyofanyiwa Membe, kufukuzwa kwenye chama, bila hatua hiyo kuidhinishwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM?
Tunaimani na mnogeshajiKwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...