Kuna watanzania wanasambaza sms hii isiyo na mashiko ili kuvuruga mchakato wa mabadiliko ya Katiba. Tuwe makini:
PIGO KWA KANISA,MAKATIB WA TUME YA KATIBA NI WAISLAM, WAMECHAKACHUA MAONI YA WAKRISTO WALIOPINGA MAHAKAMA YA KADHI NA KUBAKISHA MWANZA NA MBEYA,MIKOA ILIYOBAKI WANAHITAJI MAHAKAMA YA KADHI,TUJIPANGE KWENYE KURA ZA MAONI KUIKATAA RASIMU YA KATIBA.TUMA SMS HII KWA WAKRISTO 12.HUU NI UKWELI WALA SIO BLAABLAA
madrasati yanakusumbua. shule za kanisa ama hospital za kanisa wanaohudumiwa huko sio wakritu tu, ni watanzania wote...sidhani wewe kama hujasoma shule ya kikristu nk. ishu ni kwamba mahakama ya kadhi haishughulikii kesi za watanzania bila kujali dini bali za waislamu tu.kwa nini mimi kodi yangu waile maostaz?....afu kumbe mnaruhusiwa kutumia kodi za mafirauni?Mie mwislamu nataka kodi yangu nayokatwa iende kusimamia mahakama ya kadhi sababu ni haki yangu kama vile ambavyo kodi yangu inaenda kuchangia shule za kanisa na hospitali za kanisa
Kuna watanzania wanasambaza sms hii isiyo na mashiko ili kuvuruga mchakato wa mabadiliko ya Katiba. Tuwe makini:
PIGO KWA KANISA,MAKATIB WA TUME YA KATIBA NI WAISLAM, WAMECHAKACHUA MAONI YA WAKRISTO WALIOPINGA MAHAKAMA YA KADHI NA KUBAKISHA MWANZA NA MBEYA,MIKOA ILIYOBAKI WANAHITAJI MAHAKAMA YA KADHI,TUJIPANGE KWENYE KURA ZA MAONI KUIKATAA RASIMU YA KATIBA.TUMA SMS HII KWA WAKRISTO 12.HUU NI UKWELI WALA SIO BLAABLAA
madrasati yanakusumbua. shule za kanisa ama hospital za kanisa wanaohudumiwa huko sio wakritu tu, ni watanzania wote...sidhani wewe kama hujasoma shule ya kikristu nk. ishu ni kwamba mahakama ya kadhi haishughulikii kesi za watanzania bila kujali dini bali za waislamu tu.kwa nini mimi kodi yangu waile maostaz?....afu kumbe mnaruhusiwa kutumia kodi za mafirauni?
mimi kodi zangu zinatokana na kitimoto....hamuoni mtanajisika?

Mie mwislamu nataka kodi yangu nayokatwa iende kusimamia mahakama ya kadhi sababu ni haki yangu kama vile ambavyo kodi yangu inaenda kuchangia shule za kanisa na hospitali za kanisa