Mpango wa kuvuruga Mchakato wa Katiba Mpya

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
950
Kuna watanzania wanasambaza sms hii isiyo na mashiko ili kuvuruga mchakato wa mabadiliko ya Katiba. Tuwe makini:

PIGO KWA KANISA,MAKATIB WA TUME YA KATIBA NI WAISLAM, WAMECHAKACHUA MAONI YA WAKRISTO WALIOPINGA MAHAKAMA YA KADHI NA KUBAKISHA MWANZA NA MBEYA,MIKOA ILIYOBAKI WANAHITAJI MAHAKAMA YA KADHI,TUJIPANGE KWENYE KURA ZA MAONI KUIKATAA RASIMU YA KATIBA.TUMA SMS HII KWA WAKRISTO 12.HUU NI UKWELI WALA SIO BLAABLAA
 
Mnapoanza haya mambo ya k***

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ije mahakama ya kadhi ila mshahara mahakimu walipwe toka vyanzo vya mapato vya misikiti na sio kodi ya watanzania wasiohusika na hizo mahakama.....kama mtwara tuuu...mahakama ya kadhi iwe gesi na waislam wawe wananchi wa mtwara na lindi...hapo patamu.
 
Kama ni hivi jamani, sasa siyo mzaha tena. Msicheze na mambo kama haya ambayo ni nguzo ya shetani duniani. Wala msidhani haya mambo ya kiislam yakipitishwa kutakuwa na amani tena Tanzania. Itakuwa kama Iraq, uturuki, iran nigeria na kule mnakokuona kumejaa giza totoro. Ni wakati wa kuchukua hatua sasa. Acheni kuleta mizaha katika mambo ya waislam ambyo yanafanya dunia isiwe sehemu ya kuishi binadam. Mwenye sikio na asikie.
 
nimebahatika kuhudhuria mikutano kazaa ya maoni,nimejionea mwenyewe wakristo wakilalamika kuwa wajumbe hawana uwiano kati ya waislamu na wakristo!
 
We waache tu watuletee iyo mahakama yao ya kadhi,kama itakuwa kwa ajili ya waislamu tu apo sawa ila tofauti na hapo patachimbika!hata huku Mbeya ndo hatutaki hata kuisikia kabisa labda kama itakua kwa ajili ya mikoa ya dar,tanga,kigoma,mtwara na lindi apo sawa!
 
"MAHAKAMA YA KADHI SAWA."
Ila mishahara na marupurupu vilipwe na vyanzo vya mapato vya taasisi za kiislam SI KODI ZETU.
 
Mie mwislamu nataka kodi yangu nayokatwa iende kusimamia mahakama ya kadhi sababu ni haki yangu kama vile ambavyo kodi yangu inaenda kuchangia shule za kanisa na hospitali za kanisa
 
Ina umuhimu gani hiyo Mahakama?
 
Mie mwislamu nataka kodi yangu nayokatwa iende kusimamia mahakama ya kadhi sababu ni haki yangu kama vile ambavyo kodi yangu inaenda kuchangia shule za kanisa na hospitali za kanisa
madrasati yanakusumbua. shule za kanisa ama hospital za kanisa wanaohudumiwa huko sio wakritu tu, ni watanzania wote...sidhani wewe kama hujasoma shule ya kikristu nk. ishu ni kwamba mahakama ya kadhi haishughulikii kesi za watanzania bila kujali dini bali za waislamu tu.kwa nini mimi kodi yangu waile maostaz?....afu kumbe mnaruhusiwa kutumia kodi za mafirauni?
mimi kodi zangu zinatokana na kitimoto....hamuoni mtanajisika?
 
Kuna watanzania wanasambaza sms hii isiyo na mashiko ili kuvuruga mchakato wa mabadiliko ya Katiba. Tuwe makini:

PIGO KWA KANISA,MAKATIB WA TUME YA KATIBA NI WAISLAM, WAMECHAKACHUA MAONI YA WAKRISTO WALIOPINGA MAHAKAMA YA KADHI NA KUBAKISHA MWANZA NA MBEYA,MIKOA ILIYOBAKI WANAHITAJI MAHAKAMA YA KADHI,TUJIPANGE KWENYE KURA ZA MAONI KUIKATAA RASIMU YA KATIBA.TUMA SMS HII KWA WAKRISTO 12.HUU NI UKWELI WALA SIO BLAABLAA

mi nimeipata na nimeisambaza fasta kwa wakristu kama 96 vile. nimeishuhudia hiyo kamati wengi wao ni waislamu. Msikonde wakristu watashika ngazi za juu za kupeana huku chini tutabaki wenyewe si huku tunaangalia sifa.
 
madrasati yanakusumbua. shule za kanisa ama hospital za kanisa wanaohudumiwa huko sio wakritu tu, ni watanzania wote...sidhani wewe kama hujasoma shule ya kikristu nk. ishu ni kwamba mahakama ya kadhi haishughulikii kesi za watanzania bila kujali dini bali za waislamu tu.kwa nini mimi kodi yangu waile maostaz?....afu kumbe mnaruhusiwa kutumia kodi za mafirauni?
mimi kodi zangu zinatokana na kitimoto....hamuoni mtanajisika?

We unaongea vitu gana humu!! Usikurupuke kujibu vitu, soma nilichoandika mie nimesema kodi yangu iende kuchangia mahakama ya kadhi sbb ni mwislam na ni sehemu ya tanzania, wewe mkristo hunihusu mie wala sina haja ya kusemea mambo yako, sasa nashangaa kitimoto sijui takataka gani unaongea. Shida hapa hatuangalii imehudumia wote au vp, maadam inaserve interest za watanzania then fine serikali ina wajibu wa kuangalia hilo, kwani si tuna institution za wanawake peke yao mbona mie mwanaume nachangishwa?! Talk. Sense usilete ubishani tu
 
madrasati yanakusumbua. shule za kanisa ama hospital za kanisa wanaohudumiwa huko sio wakritu tu, ni watanzania wote...sidhani wewe kama hujasoma shule ya kikristu nk. ishu ni kwamba mahakama ya kadhi haishughulikii kesi za watanzania bila kujali dini bali za waislamu tu.kwa nini mimi kodi yangu waile maostaz?....afu kumbe mnaruhusiwa kutumia kodi za mafirauni?
mimi kodi zangu zinatokana na kitimoto....hamuoni mtanajisika?

Mie nimesoma madrasati na najivunia hilo sasa wewe uliesoma degree kama kweli manake yawezekana uliishia diploma ukajiona umesoma unashindwa hata kujibu hoja, mwenyewe unaona ufahari kitimoto eti? Hata ukristo wenyewe huujui masikini
 
Yaap!!! tena ninafuga viti moto wengi ndio uchumi wangu unapopatikana na nautumia pia kuwasaidia watoto wao ambao wako katika mazingira magumu hawawezi kulipa ada na wazazi wao wanashukuru kwelikweli, huku maostaz plus vitabu vyao vinawakatazwa sana wasitumie kiti moto!!! siwaelewi hawa jamaa!!
 
Mie mwislamu nataka kodi yangu nayokatwa iende kusimamia mahakama ya kadhi sababu ni haki yangu kama vile ambavyo kodi yangu inaenda kuchangia shule za kanisa na hospitali za kanisa

hivi yale majengo ya tanesco kule morogoro kuna majina ya kina John, Joseph, Anna, Eliza, Jack/son/line ambao ni wanafunzi au wafanyakazi? Kwa nini hawapo?(na vgezo wanavyo)
Na hivi huwa hakipewi ruzuku!
Je vp kuhusu SAUT, KCMC, BUGANDO, Tumaini Universities wakina Rashid, Said, Salim, Abdul, Abasi, Mohamed, n.k hawasomi? Hawatibiwi? Hawapewi kazi? (kama wamekidhi vgezo)
hivi ni nani aliyewagola nyie oism na ilika? Asikiaye na afaham!
 
Mie,ni MKRISTO! Hiyo MSG,nisha tumiwa,zaidi ya mara moja! Lakini,naiona ni kama zile MSG zingine za kipuuzi tu!
Suala la MAHAKAMA YA KADHI,sina shaka nalo,kwani nina uhakika hilo ni suala lao,na wala halihitaji ruhusa ya serikali!
Hata sisi WAKATOLIKI,tuna mahakama zetu,zisizo na uhusiano na serikali!
 
Back
Top Bottom