MPANGO WA KUANGANIZA HISTORIA YA AFRICA

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
Kuna Udanganyifu uaofanywa wa Kuandika Upya Historia. Mara nyingi wanaofanya Hivyo Ni wahalifu wanaotaka si tu kuwadanganya Jamii ya watu Waliopo kuhusiana na Maswala fulani ya Kijamii, Bali wahalifu hawa wanahakikisha hata vizazi Vijavyo vitaendelea kuamini Uwongo wao.

Mara baada ya Kuanza kwa Biashara ya Utumwa na Ukoloni, Ili kujifurahisha nafsi na kuhalalisha Unyama, Dharau na Uangamizi aliofanyiwa Mwafrika. Watu wa Ulaya ya Wa mashariki ya kati na Magharibi, walishirikiana kufuta dhana na Historia ya Utu na utamaduni wa Mwafrika. Na walijitahidi sana Kuonyesha Afrika haijawahi kuwa kabisa na Maendeleo wala Ustaarabu.

Na juhudi Nyingine Ilikuwa ni kumwonyesha Mwafrika Kuwa ni Mtu duni, Asiyekuwa na Uwezo wala Nguvu ya Kufanya Mambo makubwa. Na kwa Kuwa Ushahidi wa Kihistoria haukuwa Upande wao, Wakaanza Juhudi Kubwa za Udanganyifu, Kuchafua Histoa.

Kwa Kuwa Picha Zinaongea Maneno Elfu, acha nitoe Mifano ya Picha Ambazo sanamu (artfacts) za Kihistoria ni Tofauti na Michoro ya sasa ya Udanganyifu.

sphinx.jpg

Sanamu ya Sphinx ikiwa imepodwa Pua Kwani Pua Ni kielelezo cha Kuonyesha Mbari
picture-29-76.png
Picha ya anayedanganyiwa kuwa Rameses II Ikiwa imepakwa melanin na kubandikwa tunyele za wazungu!

top10_art_ramses.jpg
Rameses II wa Kweli Fananisha

Picha za Sanamu Kubwa za Vichwa Vya askari Waafrica Vilivyokutwa Vimefukiwa Amerika ya Kusini. Olmecs -Waafrika hawa walikaa America miaka Elfu Kadhaa Kabla ya Kuja Waingereza Na Wahispania. Ndio Maana Kuna Kufanana sana Kwa Mapiramid ya Misri na Mapiramid ya America Kusini. Pia yote yalilenga Kuabudu Jua. Kadhalika hata Rangi maarufu ya Buluu ya Mavazi ya Kifalme yalifanana.
Mexico.Tab.OlmecHead.01.jpg

Mapiramidi ya Misri, Angali lile dogo lenye Ngazi
6951891-the-great-pyramids-of-giza.jpg

Fananisha na Mapiramidi ya America ya Kusini

images

By the way Mapiramid ya Misri yanaonekana Mazee zaidi hivyo kuonyesha waliopeleka utamaduni huo Amerika ya Kusini walitokea Misiri na sio Kinyume.

Wahifadhi (curators) wa Kihistoria wakifanyia unakshifu (preservation) Maski ya Jeneza halisi la Pharaoh Tut aliyetawala miaka ya 1333 Bc mpaka 1332 Bc (Miaka ya Bc inahesabiwa Kinyumenyume) Tazama Rangi ya Buluu Katika Maski hiyo. Na Artfact zingine.

15102-king-tut-mask-mn-0826_355b5a2db4474b74b4a465799bb535f6.nbcnews-ux-2880-1000.jpg

Linganisha Na haya Mavazi ya Kifalme ya Wamaya wa Amerika ya Kusini,

800px-Bonampak_Painting.jpg

Wahindi Wekundu,

assiniboine_art.jpg

Mji wa Timbuktu, Mji Uliokuwa Umejegwa Kila Kitu Ni Dhahabu tupu, Je ni fano wa Eldorado ya Amerika ya Kusini?
mansamunsa-parade.jpg

Tofauti Na Eldorado, Timbuktu ilikuwa ni real na Mansa Musa Mfale wake alikuwa ni Mwanadamu Tajiri Kuliku wote aliyewahi Kuishi, Utajiri wake Unakadiriwa Kuwa $ Bilioni 500 (Mia Tano). Tajiri kuliko wote wa sasa ana Dola bilioni kama 53 tu Bill Gates

Timbuktu, Ulivyo sasa, Zamani Kuta zake zote na Malango yake ilikuwa ni Dhahabu tupu.

Songhai2.jpg

Eldorado
Legendary-Lost-City-Of-Gold-El-Dorado.jpg
 
For ur information North African natins dont consider themselves as Africans rather they consider wao ni ARABS accsidentaly wakawekwa Africa,when u talk about African ni upande ma chini ma Jangwa la SAHARA na sio kwa juu
 
Ni ujinga wa hali ya juu kuwalaumu Wazungu wakati sisi wenyewe tunafanya kila tuwezalo kuifuta history yetu wenyewe.Juzi juzi rais wako wa awamu ya nne alibadili jina la barabara moja ya jiji la Dar na kuiita Obama road.

I Know that too the presence of one fact does not nullify the possibility of the second!
Inashangaza hapa kuwa bila kutafakari hapa, watu mnapenda kutukana watu hata bila kujua undani wao, hilo unaloniita nalo mjinga nalitambua mara mia kiliko!
 
For ur information North African natins dont consider themselves as Africans rather they consider wao ni ARABS accsidentaly wakawekwa Africa,when u talk about African ni upande ma chini ma Jangwa la SAHARA na sio kwa juu

Sio Kweli Waarabu walianza Kuinfiltrate North Africa Karne ya Tano 500 AD Wakati wa Muhamad
 
@tl.marandu usijali watajaribu waweze sasa lakini si milele. ...!kumbuka uongo hupanda lifti bali ukweli hukwea ngazi
 
Back
Top Bottom