Mpango told to explain where money for water projects went

Wabunge koko hawa wanawakilisha genge lao la wahuni Bungeni ili kuficha maovu yao mbali mbali nchini. Wamepoteza hadhi ya kuitwa wawakilishi wa Watanzania Bungeni.

Bunge ligeuke kama Bunge la South Africa Uganda Nigeria ni ngumi mwanzo mwisho tutaheshimiana.
Wabunge wa ccm wanalipwa kupitisha budget za ovyo na wana mgao kwenye pesa zinazoinishwa.
Wabunge wa ccm wote wezi
 
Pesa zote huwa zinapelekwa hazina. Hii ni pamoja na pesa zinazopatikana mbali na kodi kama vile pesa ya vibali vya kuchimba visima n.k.
 
Bunge linaidhinisha pesa za Wizara husika halafu yule D anazichota na kuzitumia vile atakavyo kwa mambo ambayo hayana tija kwa Watanzania na Bunge halijatenga pesa kwa mambo hayo. JANGA KUBWA LA TAIFA!!!
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…