X xing JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 203 Reaction score 31 Jan 9, 2016 #1 Hi hadi sasa mheshimiwa kafanikiwa kutumbua majipu mangapi? Ni vema tukajua dira yake ni kutumbua majipu mangapi kwa muda gani. Mpango kazi wake ukiwa bayana utarahisisha hasa wananchi na serikali kupitia watendaji wake kuipima kazi yake.
Hi hadi sasa mheshimiwa kafanikiwa kutumbua majipu mangapi? Ni vema tukajua dira yake ni kutumbua majipu mangapi kwa muda gani. Mpango kazi wake ukiwa bayana utarahisisha hasa wananchi na serikali kupitia watendaji wake kuipima kazi yake.
ANDREAS SON Senior Member Joined Sep 10, 2014 Posts 108 Reaction score 46 Jan 9, 2016 #2 Mizunguko kibao escrow iko hapo, tunapoteza billions kila mwezi ,pesa uswis kibao sifa tu kuwauwa watanzania na pressure kwa kuwabomolea nyumba zao.
Mizunguko kibao escrow iko hapo, tunapoteza billions kila mwezi ,pesa uswis kibao sifa tu kuwauwa watanzania na pressure kwa kuwabomolea nyumba zao.