Muda umepita tangu tusome kwenye magazetikuwa upo mpango kabambe wa Wizara ya Nishati wa kutoa elimu ya ngazi yadi PhDkatika masuala mazima ya sekta ya gesi asilia na Mafuta yaani utafutaji wake, uendelezaji wake,uchimbaji wake na usimamizi wake. Hivi wamefikia wapi?
Hili suala laelimu ni muhimu sana kuliko ile hoja ya Watanzania wachache kumilikishwavitalu. Utoaji wa Elimu ni sawa na ule msemo wa Wahenga kuwa mvuvi mfundishekuvua samaki siyo kumpa samaki. Hili suala la elimu lilitakiwa liwe sera nalipewe pesa nyingi kabisa na Serikali. Lakini kuwapa Watanzania wachache vitaluni sawa na ile hoja kuwa Watanzania tunapenda sana Chukua Chako Mapema.Tunasikia kuwa Japani ilipoamua kujitafutia namna ya kujijenga Kiuchumumwishoni mwa karne ya 20 walituma watuwao wenye Akili kusoma nje na wakielezwa kisirisiri wakaibe na teknolojia pia.Leo Karne ya 21 ona walipo. Aidha,tunasikia China ambao sera zao za sasa ziliandikwa mnamo mwaka 1978; tunaelezwasera yao nayo ilikuwa ni elimu na baadaye Serikali itoe mitaji ya riba ndogo bila hata dhamana auwanye mawazo mazuri ya kiviwanda wapewe mitaji bure. Angalia wanavyopeleka uchimiwa Dunia. Hivi kwa nini sisi tunapenda sera za haraka haraka. Kama hizi zawachache wapate vitalu.