Yanatibika. Nenda hospitali yoyote kubwa weka miadi na mganga wa meno. Inaweza kuzidi laki 2 kulingana na hospitali, uwezo wa mganga na kiwango cha uharibifu.
Kama upo Arusha nenda SDA Njiro ni wazuri kwenye meno. Kama upo Moshi hospitali ya Kibosho yupo mganga mzuri.