hamia kwa mkiristo mwenzio mupige lager na kitimoto chenu bila ya kusumbuliwa na mumuwache muislam na maisha yakenaombeni nisaidieni jinsi ya kumfukuza huyu mtu'mpangaji mwenzangu'yeye anajiona ni mwislam mtakatifu na imepelekea agombane na watu wanaoishi naye'jana chupuchupu kuzichapa na mimi baada ya mwenye nyumba kumshutumu anatumia umeme vibaya'basi mimi nikamwendea na kumwambia kwa nia ya kubana matumizi ya umeme'alinijia juu kinoma akidai hanijui wala hanitambui na kuanzia sasa sitakaa nikuheshimu tena'nilishangaa sana kwa sababu ilikuwa ni issue ndogo lakini ilifika mbali huku akionyesha dalili za kutaka kupigana na mimi'siku za nyuma keshapigana na wwatu wawili tofauti kwa sababu ya mambo ya kijinga'yeye ni fundi machanical keshafukuzwa garage kwa sababu ya ujuaji na maneno mengi'jamani nisaidieni nimwondoeje hapa maana wote tumepanga na jamaa hajui kuishi na watu'nifanyeje ili ahame huyu mwislam???
huyu mtafutie kiti moto halafu kichome karibu na mlango wake atahama siku hiyo hiyo
naombeni nisaidieni jinsi ya kumfukuza huyu mtu'mpangaji mwenzangu'yeye anajiona ni mwislam mtakatifu na imepelekea agombane na watu wanaoishi naye'jana chupuchupu kuzichapa na mimi baada ya mwenye nyumba kumshutumu anatumia umeme vibaya'basi mimi nikamwendea na kumwambia kwa nia ya kubana matumizi ya umeme'alinijia juu kinoma akidai hanijui wala hanitambui na kuanzia sasa sitakaa nikuheshimu tena'nilishangaa sana kwa sababu ilikuwa ni issue ndogo lakini ilifika mbali huku akionyesha dalili za kutaka kupigana na mimi'siku za nyuma keshapigana na wwatu wawili tofauti kwa sababu ya mambo ya kijinga'yeye ni fundi machanical keshafukuzwa garage kwa sababu ya ujuaji na maneno mengi'jamani nisaidieni nimwondoeje hapa maana wote tumepanga na jamaa hajui kuishi na watu'nifanyeje ili ahame huyu mwislam???
Hamia CDM! Mbege kitimoto 24/7
Kwa heshima naomba uedit maelezo yako UKOROFI WAKE USIUHUSISHE NA UISLAMU WAKE unless labda kama unachuki na waislamu
Mi ni CCM... Ila kuhusianisha vyama na udini ni jambo la kuona kabisa unahitaji kupewa pole..
Chama kilichowahi kuukana udini wakati mikutano yake hapa bara ilijibainisha hivyo ilikuwa ni CUF.. Wanawake wanafunga vilemba na wanajitenga na wanaume,mikutanoni...
Jadili mada bila kuchanganya vyama...
dawa ni kwenda kanisani, kuomba chumba kimoja na kukaa. maana inaonekana unahasira na waislam. lkn jihadhari sana, usimtolee ukali mara atakupiga ngeo utoke meno ushindwe kula kitimoto
Kwa heshima naomba uedit maelezo yako UKOROFI WAKE USIUHUSISHE NA UISLAMU WAKE unless labda kama unachuki na waislamu
Wewe sio mzima. Mimi sijataja DINI wala Ukristo kwenye post yangu! Hayo ni mawazo yako tu!
dawa ni kwenda kanisani, kuomba chumba kimoja na kukaa. maana inaonekana unahasira na waislam. lkn jihadhari sana, usimtolee ukali mara atakupiga ngeo utoke meno ushindwe kula kitimoto