Mpanda yetu iko wapi?

WaMoroco

Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
25
Reaction score
2
Naomba tuwekane sawa kwa hili

Kwa wale waliozaliwa MPANDA ya miaka ya sabini kurudi nyuma watakubaliana na mimi kuwa walikuwa wamezaliwa mkoa wa TABORA (waangalie vyeti vyao vya kuzaliwa) na kwa wale waliozaliwa miaka ya mwisho ya sabini kwenda mbele mpaka mwanzoni mwa 2011 wote waliozaliwa MPANDA wamezaliwa katika mkoa wa RUKWA na kwa wale waliozaliwa / watakaozaliwa mwishoni mwa 2011 (sijui mpaka lini) watakuwa wamezaliwa mkoani wa KATAVI

Naomba tuwekane sawa hapa wale waliozaliwa wakati MPANDA inaitwa TABORA halafu RUKWA leo hii wajitambulishe wamezaliwa MKOA gani?

Ni mimi niejua jina la mkoa niliozaliwa, asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…