Mpanda kati-makamu mwenyekiti chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpanda kati-makamu mwenyekiti chadema

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Maswi, Nov 4, 2010.

 1. M

  Maswi JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 897
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kuna mwenye matokeo ya mpanda kati ambapo makamu mwenyekiti wa CHADEMA anatetetea jimbo lake hilo au bado CCM wanachakachua au wamehairisha uchaguzi jimbo hilo?
  WANAJF naombeni majibu.
   
 2. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uchaguzi uliahirishwa mkuu sababu masanduku yalichelewa kufika.
   
 3. d

  dotto JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wajinga wanataka kulichukua hilo kama ilivyo Tarime. Wangeahirisha kwa siku moja na sio mpaka leo
   
Loading...