kimunyesam
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 220
- 202
Cc:#faizafox
jamani niwape kituko! nikiwa sekondari miaka. ya 80 mwishoni nilikua nacheza karate, sasa ukaja ubishi kwamba wanaokimbiza mwenge hua na makomando wamo. ili ku proove ukija mwenge ukiupokea tokanao nduki, lakini Ki ujanja sana wasigundue,ukakamavu unahitajika kukaanao muda mrefu wasıkunyang,anye. basi. tulijipanga kutest zali. kweli tukapokea halafu washikaji wakajifanya kukomaa nikae nao muda mrefu! jamani dhoruba niliyopigwa huku watu wanaimba sintosahau! na hakuna mwananchi alie elewa nini kinaendelea. sasa huyo wa kumtest raıs akae tayari!
Hapana xiexie! FaizaFoxy hayupo kwenye #TeamRekebishaLugha . Kuelewa background ya #TeamRekebishaLugha ,Cc:#faizafox
tpatie picha mi cjawahi ona mpambe naonaga tu yule mlinzi ama ndo huyo?
Yaani mkuu nimecheka hadi chozi!walikupiga au ilikuwaje?jamani niwape kituko! nikiwa sekondari miaka. ya 80 mwishoni nilikua nacheza karate, sasa ukaja ubishi kwamba wanaokimbiza mwenge hua na makomando wamo. ili ku proove ukija mwenge ukiupokea tokanao nduki, lakini Ki ujanja sana wasigundue,ukakamavu unahitajika kukaanao muda mrefu wasıkunyang,anye. basi. tulijipanga kutest zali. kweli tukapokea halafu washikaji wakajifanya kukomaa nikae nao muda mrefu! jamani dhoruba niliyopigwa huku watu wanaimba sintosahau! na hakuna mwananchi alie elewa nini kinaendelea. sasa huyo wa kumtest raıs akae tayari!
Nasikia jamaa jembe ile mbaya. Mjeshi mmoja kaniambia kuwa jamaa alituwakilisha vema kule DRC dhidi ya M23 pia Lebanoni. Ila sio komando ingawa alikuwa anavaa kiraia akiwa MAKAO MAKUU hivyo huenda nae ni shushushu. Huenda JK ameamua kujiimarisha kousalama kwa kuongeza mashushu.Wana JF hivi kuna mtu ana CV ya mpambe mpya wa rais? Kama ipo tuwekeeni hewani kuanzia jina na sifa nyingine maana hapa mtaani wanadai jamaa ni Komando.
Wana JF hivi kuna mtu ana CV ya mpambe mpya wa rais? Kama ipo tuwekeeni hewani kuanzia jina na sifa nyingine maana hapa mtaani wanadai jamaa ni Komando.