PROSPER 05
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 226
- 217
TV Gani inaonyesha pambano kati ya Yanga na Ngaya Uwanja wa Taifa.
Full Time Yanga 1 Ngaya 1.
Yanga wanavuka kwenda Round ya Kwanza CAF kwa ushindi wa jumla (6-2) Kukutana na Mshindi kati ya Zanako na APR
Hongereni WanaYanga
- Dakika 25 Ngaya wanapata Bao. Ngaya 1 yanga 0
- Kuna kitu kinatolewa katika goli la Ngaya.. sijui ni uchawi au nini
- Chirwa anakosa Goli
- Yanga wamekuwa Wazito sana
- Dk 32 Saidi Achimu Anapiga krosi inamtoka Dida ni hatari lakini wanaokoa Yanga
- Ngaya Wanafika Mara kwa Mara langoni mwa Yanga
- Dk38 Emmanuel Martini anapiga shuti la Mbali lakini linatoka nje
- Dk43 Haji Mwinyi Anaisawazishia Yanga kwa shuti la mbali
Full Time Yanga 1 Ngaya 1.
Yanga wanavuka kwenda Round ya Kwanza CAF kwa ushindi wa jumla (6-2) Kukutana na Mshindi kati ya Zanako na APR
Hongereni WanaYanga