Mpambanaji wa ukweli.

kipi bora kiongozi kuadapt wananchi au wananchi kumuadapt kiongozi..?
Mm naona mwananchi ni bora amuadapt kiongozi kwasababu mara nyingi viongozi wengi huwa tunachaguliwa. sii unaona kama marekani cilnton alishinda uchaguzi wa wananchi ila wale wajumbe 530 wakasema hapana ushindi wakampa trump.
 
ha ha! hii napinga kama mnamfata mtu 1 ni rahisi nyote kutumbukia!
 
Mm naona inafaa mwananchi akabiliane na kiongozi yoyote yule na kwa namna yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…