Mpambaji Wetu Mahiri Kaishia Wapi?

Mpambaji Wetu Mahiri Kaishia Wapi?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Jamani habari zenu. Naandika poat hii mikono ikitetemeka yasije yakanitokea yale yaliyonitokea kwa Mwanamalundi. Huyu dada yetu afrodenzi mbona haonekani kabisa kwa muda mrefu? Nakumbuka sana pale mdau akisema ana birthday, Afrodenzi anampamba kwa maua na mashamsham ya rangi za kupendeza ajabu. Sasa hivi kwa kuwa hayupo,
birthdays zinazubaa sana.
afrodenzi, hebu tokeza vuup kama alivyofanya Mwanamalundi nilipomsema.
 
Last edited by a moderator:

Aisee, this is serious now!
 
mm sijui labda tumuulize Boflo uenda kamtorosha hapa?

afrodenzi yuko kwenye fungate.
Copy: The Finest na matron Michelle.
 
Last edited by a moderator:
Umemwona Mwanamalundi lakini alivyotokea vuuuuup hahaha was kwanza kukoment nahisi ni id yako mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
siku afrodenzi akipotea mimi nitamkaba Pearl hadi anioneshe alipo. mimi naamini wana mawasiliano ya karibu kuliko member yeyote. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom