Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,053 May 21, 2015 #2 Nashangaa wana import nje ya nchi wakati "bidhaa" inapatikana kwa wingi nchini Tanzania. Ni matumizi mabaya ya fedha za kigeni. Ha ha ha !
Nashangaa wana import nje ya nchi wakati "bidhaa" inapatikana kwa wingi nchini Tanzania. Ni matumizi mabaya ya fedha za kigeni. Ha ha ha !
white hat JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 3,318 Reaction score 2,489 Mar 9, 2017 #3 matumizi mabaya ya rasilimali
jozzeva JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 2,193 Reaction score 1,832 Mar 9, 2017 #4 Huu ni uaribifu wa masoko ya ndani.
Ifumange JF-Expert Member Joined Oct 21, 2016 Posts 900 Reaction score 1,077 Mar 9, 2017 #5 Wanabadilishana na viroba
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,960 Reaction score 183,581 Mar 9, 2017 #6 Acha tu tuimport maana hatuna viwanda.
Uliza Nkujibu JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 806 Reaction score 641 Mar 10, 2017 #7 mbna na wanawake nao utunaimpoti? au zari mtizedi?
bigKilaza JF-Expert Member Joined Sep 22, 2016 Posts 356 Reaction score 214 Mar 10, 2017 #8 Eti wanaimport mpaka Rwanda kama anaesumbua Dar?
Papaa Kinyani JF-Expert Member Joined Feb 25, 2013 Posts 1,457 Reaction score 699 Mar 10, 2017 #9 Bidhaa za ndani hazina ubora, wafanyeje? Demand ni kubwa kuliko supply lazma waangalie kwa jirani. Waacheni tuu wanaume wameishiwa nguvu za kiume kwa pombe na mihadarati.
Bidhaa za ndani hazina ubora, wafanyeje? Demand ni kubwa kuliko supply lazma waangalie kwa jirani. Waacheni tuu wanaume wameishiwa nguvu za kiume kwa pombe na mihadarati.
sonjames JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 289 Reaction score 387 Mar 10, 2017 #10 Udhalilishaji mkubwa, nilikaa pale mpakani mbona sikuwahi kuisikia hii?