Mpaka wa Uganda na Kenya wakati wa Ukoloni

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,873
Kwa kweli hii nimeipata kwenye website hii
WHKMLA : Historical Atlas, Kenya Page
Kwa wajuzi wa histori hebu jaribuni kutujuza ilikuwaje ule mpaka ukabadirika? je kuna makubaliano yapi yalifanyika mpaka mambo yakawa hivyo?
Hii hapa picha chini.
Uganda.gif
 
Watakuja wajuzi wa hii habari, ila hii mipaka wakoloni waliibadilisha sana.
 
Mbona hushangai kuwa Rwanda, Burundi na Tanzania zilikuwa nchi moja?
Yap lakini lazima tujue ilikuwaje mpaka wa Kenya na Uganda ukabadirika wakati mtawala wao ni mmoja. Kwa issue ya burundi na Rwanda ni exceptional. Maana zilikuwa chini ya Mjerumani lakini baadae mjerumani alipigwa chini.
 
Mbona sasa huyo mtawala alimpenda sana Mkenya kwa kumuongezea maeneo kwa kumpokonya Mganda?
 
Kumbe Dar Es Salaam ni Zanzibar! ndio maana Maalim Saif hataki kutoka.
Hiyo treaty ya pwani ni ya Sultani ilifanyika baina ya Muingereza na sultani. Hiyo Agreement haikufanyika kati ya Mjerumani na Sultani. Hiyo ina apply kenya sio kwetu.
 
Ndio maana wakenya ni wezi wezi na wanafiki sana.
 
Back
Top Bottom