K Konny Joseph Senior Member Joined Aug 28, 2016 Posts 127 Reaction score 213 Apr 17, 2024 #1 Your browser is not able to display this video.
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,451 Reaction score 50,183 Apr 17, 2024 #2 Diwani amekalia kuti kavu
M mliberali JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 12,344 Reaction score 15,273 Apr 17, 2024 #3 Wanasema mazuri anafanya mama wanapongrza sana Mabaya siyo ya mama Sasa tunampongeza mama kwa maguriko ya rufuji
Wanasema mazuri anafanya mama wanapongrza sana Mabaya siyo ya mama Sasa tunampongeza mama kwa maguriko ya rufuji
Alfred JF-Expert Member Joined Apr 13, 2008 Posts 2,171 Reaction score 2,984 Apr 17, 2024 #4 Nchi yetu ina wananchi wengi wajinga sana, hawajui Protocols wala namna ambavyo nchi inaenda, hawajui kazi ya diwani wala ya Mbunge wala ya Waziri
Nchi yetu ina wananchi wengi wajinga sana, hawajui Protocols wala namna ambavyo nchi inaenda, hawajui kazi ya diwani wala ya Mbunge wala ya Waziri
Ahyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 2,695 Reaction score 6,302 Apr 17, 2024 #5 Alfred said: Nchi yetu ina wananchi wengi wajinga sana, hawajui Protocols wala namna ambavyo nchi inaenda, hawajui kazi ya diwani wala ya Mbunge wala ya Waziri Click to expand... Wananchi wengi ni bendera fuata upepo, wanaongea tu
Alfred said: Nchi yetu ina wananchi wengi wajinga sana, hawajui Protocols wala namna ambavyo nchi inaenda, hawajui kazi ya diwani wala ya Mbunge wala ya Waziri Click to expand... Wananchi wengi ni bendera fuata upepo, wanaongea tu
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 7,696 Reaction score 15,967 Apr 17, 2024 #6 ipo mikoa mambo modogo ya mitaani kama hayo serikali imeyasusa wananchi wanamaliza wenyewe.
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,451 Reaction score 50,183 Apr 17, 2024 #7 Alfred said: Nchi yetu ina wananchi wengi wajinga sana, hawajui Protocols wala namna ambavyo nchi inaenda, hawajui kazi ya diwani wala ya Mbunge wala ya Waziri Click to expand... Anayewanyima hiyo elimu ndiyo ajue madhara yake
Alfred said: Nchi yetu ina wananchi wengi wajinga sana, hawajui Protocols wala namna ambavyo nchi inaenda, hawajui kazi ya diwani wala ya Mbunge wala ya Waziri Click to expand... Anayewanyima hiyo elimu ndiyo ajue madhara yake
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,848 Apr 17, 2024 #8 Faana said: Diwani amekalia kuti kavu Click to expand... Ni balaa tupu
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,451 Reaction score 50,183 Apr 17, 2024 #9 Sultan MackJoe Khalifa said: ipo mikoa mambo modogo ya mitaani kama hayo serikali imeyasusa wananchi wanamaliza wenyewe. Click to expand... Tozo zimewapukutisha hawana kitu mifukoni
Sultan MackJoe Khalifa said: ipo mikoa mambo modogo ya mitaani kama hayo serikali imeyasusa wananchi wanamaliza wenyewe. Click to expand... Tozo zimewapukutisha hawana kitu mifukoni
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 27,494 Reaction score 55,133 Apr 17, 2024 #10 Alfred said: Nchi yetu ina wananchi wengi wajinga sana, hawajui Protocols wala namna ambavyo nchi inaenda, hawajui kazi ya diwani wala ya Mbunge wala ya Waziri Click to expand... Nadhani hakuna taifa lina watu wengi wanaopenda sifa za kipuuzi na kushadadia mambo ya kijinga kama Tanzania
Alfred said: Nchi yetu ina wananchi wengi wajinga sana, hawajui Protocols wala namna ambavyo nchi inaenda, hawajui kazi ya diwani wala ya Mbunge wala ya Waziri Click to expand... Nadhani hakuna taifa lina watu wengi wanaopenda sifa za kipuuzi na kushadadia mambo ya kijinga kama Tanzania
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,676 Reaction score 81,651 Apr 17, 2024 #11 Diwani hapo hana makosa huyo jamaa hayupo logically katika kuwaza na kutafakari .
Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,879 Reaction score 14,704 Apr 17, 2024 #12 Jamaa washamsaga huyu,
K Kimla JF-Expert Member Joined Jun 8, 2008 Posts 3,953 Reaction score 6,996 Apr 17, 2024 #13 Aliyesema anahaki,,kwa sabbabu madiwani na wabunge wkati wa kampeni wanasema mkinichagua nitajenga Barbara ,,mara nitakenga madaraja,,sasa ikifika wakati wakuwajibika inabidi awajinike basi
Aliyesema anahaki,,kwa sabbabu madiwani na wabunge wkati wa kampeni wanasema mkinichagua nitajenga Barbara ,,mara nitakenga madaraja,,sasa ikifika wakati wakuwajibika inabidi awajinike basi
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 7,696 Reaction score 15,967 Apr 17, 2024 #14 Faana said: Tozo zimewapukutisha hawana kitu mifukoni Click to expand... pamoja na tozo bado watu wana save pesa kupitia fursa nyingi zilizopo.
Faana said: Tozo zimewapukutisha hawana kitu mifukoni Click to expand... pamoja na tozo bado watu wana save pesa kupitia fursa nyingi zilizopo.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Apr 17, 2024 #15 Sampuli hiyo aishie hukohuko chama cha mbege na gongo.
K kimbomba25 JF-Expert Member Joined Jan 27, 2017 Posts 1,182 Reaction score 2,152 Apr 17, 2024 #16 Konny Joseph said: View attachment 2966163 Click to expand... Mpelekee moto hadi kieleweke...
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 23,273 Reaction score 28,431 Apr 17, 2024 #17 Konny Joseph said: View attachment 2966163 Click to expand... Mbona unaninyooshea vidole mimi! Mimi siyo diwani.
Konny Joseph said: View attachment 2966163 Click to expand... Mbona unaninyooshea vidole mimi! Mimi siyo diwani.