Hahahahahahaaa hiyo inaonesha tabia asilia za kike na za kiume.
Ke... kuwa na soni au aibu au woga.
Me... jasiri au mvumbuzi kutaka kujua kuna nini kutokuwa na hofu na hawana aibu hata.
Hapo wanyama wanafanyana katoto ka kike kameona aibu, wa kiume ndo kwanzaa anachukua ujuzi.