Mimi simba damu,
1.leo Yanga itashinda ushindi mwembamba.
2.kisha ikienda misri inapigwa na kutolewa.
3.yanga haitafungwa 6-0 kama ilivyofanyiwa na Raja casablanca.
huo ndio utabiri wangu.YANGA KUTOLEWA NI LAZIMA.
Poleni yanga kiwango chenu bado sana , mechi kali bongo na yenye pressure kama ya leo huwa ni ya dhidi ya simba na mnajuaga mnapigwaga ngapi ,, endeleeni kuamini na vimechi vya ruvu sijui mgambo ambavyo unakuta wachezaji hata hawajala, na wana matatizo kibao ya posho n.k nyie mkienda mnashinda 5 mnajiona mnajua ... poleni sana
Unacheza video game gani? Yanga wenyewe wanajua leo wanaenda kutafuta sare, halafu wakienda ugenini waje na majibu tulihujumiwa. Hivi kwanini timu zetu hazifanyagi hujuma???
Unacheza video game gani? Yanga wenyewe wanajua leo wanaenda kutafuta sare, halafu wakienda ugenini waje na majibu tulihujumiwa. Hivi kwanini timu zetu hazifanyagi hujuma???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.