kweli hii ni mambumbumbu fc,sijui hizi faraja mnazitoa wapi!....Hivi mnajua kuwa tangu ligi ianze mikia haijapata ushindi wowote hata mechi za kirafiki??

Sare itawafaaYanga ushindi ni lazima
Mda unavyozidi kwenda YANGA haonyeshi dalili zozote za kurudisha magoli mpaka sasa SIMBA 3 YANGA 1 tuendelee kufuatilia tuone dk90 itakuwaje