Mpaka sasa No Reforms No Elections 10 tunatiki 0

Maharo

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
3,549
Reaction score
2,701
Mtanange bado unaendelea katika mitandao ya kijamii pamoja na kwamba tunatiki oktoba wamepewa bando la bure kuhakikisha wanashindana na wananchi wanaotumia bando lao wenyewe wa No reforms No Elections ubao unasoma tunatiki wamekufa kwa bao 10 kwa 0

Pamoja na serikali nzima kuamia kuhakikisha wanapost lakini hali bado ni mbaya kwa upande wa tunatiki

Taarifa zaidi zitaendelea kuwafikia
 
Your browser is not able to display this video.
 
Data ziko wapi?
 
Usishau tuna tiki kuna bajeti kabisa lakini No reform No Election ni nguvu ya Umma tunaweza kusema huwezi kushindana na nguvu ya Umma
 
Mmoja ni nikamuuliza mnatiki nini , akasema wagombea wetu, nikauli hawahawa au wapo wengine , katoka nduki hajanijibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…