Timu ya ushindi wa wazi kabisa..... Ushindi hapa sijakwelewa ni ushindi gan unazungumzia.
2025 ushind au ushindi wa maendeleo ya Taifa au ushindi upi?
Ushindi binafsi kwa kugonga misumari nyundo kwenye bango liloshehen sifa na majigambo lundo huku umeme kila ifikapo saa 12pm unakatwa hadi saaa moja au saa mbili kila siku?
Je najiuliza shida nnin au mitambo inafanya kaz kubwa so inapumzishwa masaa kazaa?
Sent using
Jamii Forums mobile app