Anatuletea utapeli huyu.Sijui kaahidiwa kuwa kamanda wa chipukizi wa wilaya?Sijui hata niendike nini YaaRabi....☹️
Mkuu kumbuka kuna ibada pia, kasali kwanza dah! Hizi ajira hizi, kazi ipo.ni Chama Cha Mapinduzi CCM...
sera zake za kusisimua na kuimarisha uchumi bado zinahitajika na kuaminika zaidi ndani na nje ya nchi, kwani kwa kiasi kikubwa zimebadili hali ya vipato na kuongeza hali za viwango vya maisha ya waTanzania kwa kiwango cha kuridhisha na kutia moyo sana...
sera zake za kuchochea demokrasia usawa, uhuru, haki na uwazi zimefanya siasa kua jukwaa muhimu sana kwa wananchi na wadau wa maendeleo kutoa maoni yanayoongeza uwajibikaji kwa wenye dhamana na mamlaka kwenye jamii...
sera zake kwenye upatikanaji wa huduma za kijamii kwa mfano maji, elimu, afya, miundombinu, mazingira bora ya biashara, uwekezaji, kilimo, ufugaji, usafirishaji, viwanda, ulinzi na usalama, amani na utulivu, vimefanya wananchi na waTanzania kukosa chaguo mbadala wa CCM, na kwa hivyo Imani na matumaini yao yapo katika uongozi madhubuti wa chama cha Mapinduzi...
sera zake za mambo ya nje zimekua rafiki na kivutio cha kipekee sana kwa mataifa ya dunia. ni sera ambazo zinazozingatia sana kwa kiasi kikubwa maslahi mapana ya waTanzania kwanza kiuchumi, kisiasa na kijamii, na zimekua kichocheo kikubwa sana kinachokuza biashara za nje, usafiri wa anga, utalii na uwekezaji nchini..
zaidi sana,
uongozi makini na madhubuti wa chama na serikali ya CCM ndio pekee chama cha kizalendo kinachojitegemea chenyewe, ukilinganisha na vyama vingine ambavyo kwa kiasi kikubwa vinategemea usaidizi wa hali na mali wa mataifa ya ng'ambo..
hayo ni kwa uchache tu, tena kwa lugha rahisi sana kwa sisi sote kuelewa....
hivyo basi,
chaguo pekee la waTanzania katika umoja na mshikamano wao ni CCM pekee. ndiyo pekee amani na uhakika wa usalama na utulivu wao 🐒
kwahiyo hapo ndio umejitutumua mpaka ukomo wa uwezo wako wa kufikiri mbadala wa hoja yangu ya msingi, right?Kwa miaka 17+45 na nchi ni masikini wa kutupwa bado unataka kumdanganya nani sasa?
Hata ungeandika huku unalia,CCM hakina jipya la kuwapa wananchi.Niuelewe ujingaujinga?Kundi la bandits tu.kwahiyo hapo ndio umejitutumua mpaka ukomo wa uwezo wako wa kufikiri mbadala wa hoja yangu ya msingi, right?
you are very good to reply than to understand
Kwa sababu utakula uzalendo kwa kijiko?Tatizo la umasikini wa akili linawalazimisha mshabikie na kujidai mnawapenda na kujinasbisha kwa wezi,walaghai na mahasidi CCM.kazo za kizalendo hazina haja ya malipo, shukurani wala fadhila...
zinafanyika kwa Neema na Baraka za Mungu tu
Hii inaitwa the one and only!ni Chama Cha Mapinduzi CCM...
chaguo pekee la waTanzania katika umoja na mshikamano wao mpaka sasa ni CCM pekee. ndiyo pekee amani na uhakika wa usalama na utulivu wao kiuchumi, kijamii na kisiasa
try to deconstruct me with alternatives bas....Kwa sababu utakula uzalendo kwa kijiko?Tatizo la umasikini wa akili linawalazimisha mshabikie na kujidai mnawapenda na kujinasbisha kwa wezi,walaghai na mahasidi CCM.
Mbona unakuwa a freak within your co-freaks?Unataka nikuambie hilo ni baya na nikuwekee mema viganjani?Halafu ukiulizwa una umri gani utachukia?Kataa na umfukuze kichaa na makopo yake.try to deconstruct me with alternatives bas....
gubu na mihemko sio issue sana kamanda, usione aibu
naona hutaki kugusa hoja kabisa, unazunguka na vihoja tu bila mpangilio...Mbona unakuwa a freak within your co-freaks?Unataka nikuambie hilo ni baya na nikuwekee mema viganjani?Halafu ukiulizwa una umri gani utachukia?Kataa na umfukuze kichaa na makopo yake.