MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Nimejaribu kufuatilia kwa makini sana kuhusu umakini na activeness ya vijana nchini nimegundua kua kila kinachosikika mitandaoni kuhusu maendeleo ya nchi, kila sintofamu, kila attention nchini ni kazi ya BAVICHA.
Ni taasisi ambayo kwakweli imekua ikitoa amsha amsha na uhamasishaji mkubwa sana kwa vijana na kuwafanya wajitambue. Ukisikia kuna kitu serikali inakanusha au inalalamika, ukifuatilia kwa makini unakuta source ya kuhoji ni BAVICHA.
Hii ni hazina kubwa sana kwa CHADEMA, chama kinatakiwa kuwalea vijana hawa kwa gharama yeyote ile kama mboni ya jicho maana matunda yake yanaweza yasionekane kwa sasa lakini baadaye ndio chachu kubwa ya mabadiliko nchini.
Hawa ndio vijana ambao Mwalimu Nyerere alisema taifa linawahitaji, "yaani vijana wakorofi,wajeuri,kwenye kujiamini na wasioogopa kuhoji, sio vijana wa ndio bwanamkubwa"
Hayo maneno nayaona kwa vijana hawa na ni kweli kua alichokisema mwalimu ndio kinachooneka kwao.