madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 860
Wadau habari zenu
Hali yangu kiuchumi imetetereka na sikukuu ndio ipo mlangoni,hivyo nina watoto wa 4 wawili mpaka sasa wameshapata nguo ila wawili na pesa ya pilau ndio mashaka
Baada ya hali kuwa haisomeki nilikata shauri nikampigia simu wife aje town ,nimeingia dukani nimeleta usanii lakini janga lilotukuta na mama watoto ni balaa tumepigwa mpaka karibu ya kuuwawa baada ya usanii kushutukiwa
Hapa nimeamua watoto bora wakose hata kama mwezi utaandama kesho au kesho kutwa naona basi
Jamani naomba wananchi msichukue sheria mkononi mtaua wasio na hatia sasa mke wangu ana kosa gani?
Nipeni pole