Mpaka muda huu watoto wawili washavaa bado wawili ila kibano nilichopigwa leo kule karkoo madukano

madala mujipa

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
1,417
860
Wadau habari zenu

Hali yangu kiuchumi imetetereka na sikukuu ndio ipo mlangoni,hivyo nina watoto wa 4 wawili mpaka sasa wameshapata nguo ila wawili na pesa ya pilau ndio mashaka

Baada ya hali kuwa haisomeki nilikata shauri nikampigia simu wife aje town ,nimeingia dukani nimeleta usanii lakini janga lilotukuta na mama watoto ni balaa tumepigwa mpaka karibu ya kuuwawa baada ya usanii kushutukiwa

Hapa nimeamua watoto bora wakose hata kama mwezi utaandama kesho au kesho kutwa naona basi

Jamani naomba wananchi msichukue sheria mkononi mtaua wasio na hatia sasa mke wangu ana kosa gani?

Nipeni pole
 
Ridhika na kidogo ulichokuwa nacho. Kutaka kuuawa ilhali kamba yako futi ya nini?
 
Kuna kitu huwa sielewi, mtu anajua kuna sikukuu itakuja kwanini huwa hamjipangi kuanza kununua mapema na kusubiri hafi siku ya mwisho!?

Sasa inabidi uanze kujibadili, ukijua kuna sikukuu miezi labda miwili mitatu ijayo, ukaanza kununua moja moja hata wiki 4 kabla unakuwa umemaliza halafu unafikiria matumbo yatakula nini.

Hii kitu napenda sana kuwashauri wanaooenda kulalamika haswa kwenye kuishiwa oesa, au kutokuwa na pesa ya kutosha. Kwanza utaepuka mengi na eala hautaona kama umenunua kitu au kutumia pesa nyingi.

Yaani mfano mimi ni mmoenda kununua vitu vizuri, hivyo naaminia quality sana na brands. Kwangu nitanunua ili sizije kuisha na pia naonaga inanipunguzia presha siku nikiona zinahitajika naweza kuchagua kabatini zikavalika.

Kwa wengi huwa nawapa darasa hata wafanyakazi jinsi ya kanunuzi na wanafurahia sana sana na watu wao.

Napita, umejifunza sasa siku nyingine utajua la kufanya. Pole
 
mtoto wa chini ya miaka mitano anajua nguo mpya au ya zamani?

lazima kuwanunulia siku ya sikukuu?

lazima muende kkoo?
 
Kuna kitu huwa sielewi, mtu anajua kuna sikukuu itakuja kwanini huwa hamjipangi kuanza kununua mapema na kusubiri hafi siku ya mwisho!?

Sasa inabidi uanze kujibadili, ukijua kuna sikukuu miezi labda miwili mitatu ijayo, ukaanza kununua moja moja hata wiki 4 kabla unakuwa umemaliza halafu unafikiria matumbo yatakula nini.

Hii kitu napenda sana kuwashauri wanaooenda kulalamika haswa kwenye kuishiwa oesa, au kutokuwa na pesa ya kutosha. Kwanza utaepuka mengi na eala hautaona kama umenunua kitu au kutumia pesa nyingi.

Yaani mfano mimi ni mmoenda kununua vitu vizuri, hivyo naaminia quality sana na brands. Kwangu nitanunua ili sizije kuisha na pia naonaga inanipunguzia presha siku nikiona zinahitajika naweza kuchagua kabatini zikavalika.

Kwa wengi huwa nawapa darasa hata wafanyakazi jinsi ya kanunuzi na wanafurahia sana sana na watu wao.

Napita, umejifunza sasa siku nyingine utajua la kufanya. Pole
umeandika nini sasa mrs bashite himself? full kukurupuka
 
Aksante mkuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom