Toa hoja na usijenge dhana tu kichwani mwakouthibitisho kwamba serikali ndiyo inateka watu.
1) makonda alisema roma angepatikana kabla ya jumapili hakupatikana! na kwenye press mwakyembe alienda kufanya nini?
2) ulimboka wakati wa mgomo wa madr. = mtekaji ramadhani ighondu
3) nondo : kauli ya JPM, makonda na mwigulu. RPc iringa na mambo saba
upo hivyo ulivyo na kitambi chako sababu ya ujinga wako
kichwa chako kimejaa usaha wewe. makonda ananusuru maisha ya nondo na ya roma mbona asiokoe ya ben sanane?
nakuongezea na hili. siku ile ulimboka anafika pale mui2 alimtambua mmoja wa watu waliomteka na kumtesa.Toa hoja na usijenge dhana tu kichwani mwako
Usitudanganye bwana ....Dr Ulimboka nakumbuka kabisa amesema hawajui waliomteka hizo dhana tu zinajengwa na watu kama wewe.nakuongezea na hili. siku ile ulimboka anafika pale mui2 alimtambua mmoja wa watu waliomteka na kumtesa.
ongeza na hili siku ile wakati roma anafanya press conference wazir mwakyembe alitoka dodoma na kwenda kwenye ile presa alienda kama nani pale na kwa nn alienda ?
nakuongezea na hili cctv kule kwenye makazi ya kisu dodoma ziliondolewa siku chache baada ya lisu kushambuliwa kwann ziliondolewa?
naongeza na hili, lisu ni mbunge iweje ashambuliwe bila serikali kumpata aliyeshambulia miezi karibu suta sasa? mbona nondo kapatikana haraka hivi.
je yupo wapi bwana Juma dogan yule kada wa ccm aliyemuokota kijana nondo msituni na kumpa pesa ya tax?
nakuongezea tena ni wapi nonfo alisema ametekwa? hadi wewe unaseema amejiteka
kama wewe ni mtanzania wa kuzaliwa kweli na sio kubumbabumba eleza maana ya kutekwa/ kuniteka kwa mujibu wa TUKI.Usitudanganye bwana ....Dr Ulimboka nakumbuka kabisa amesema hawajui waliomteka hizo dhana tu zinajengwa na watu kama wewe.
Kuhusu Roma na Dr Mwakyembe hakuna issue yoyote hapo na Roma hakuzuiwa na Dr Mwakyembe kuongea chochote ila alikuwepo kama waziri mwenye dhamana na mambo ya utamaduni na music ni sehemu mojawapo.Roma alikuwa free kuongea
Kuhusu cctv taarifa kuwa zilikuwepo au zimetolewa imetolewa na nani?
Lissu bado upelelezi unaendelea ukikamilisha taarifa itatolewa hata ukipita mwaka.siyo kazi yako.
Kuhusu Nondo taarifa ya awali ni kuwa amejiteka toka kwa Kamanda kanda maalum Dar.
Kutekwa na kuchukuliwa na watu unaowajua au ambao huwajui na kupelekwa mahali usipopajua kwa nia ya watekaji kupata chochote kupitia kwao aidha pesa au kushinikiza kitu falani kwa ndugu wa aliyetekwa.kama wewe ni mtanzania wa kuzaliwa kweli na sio kubumbabumba eleza maana ya kutekwa/ kuniteka kwa mujibu wa TUKI.
kuhusu ulimboka unajua kwann gazeti la mwanahalisi lilifungiwa 2012.
kuhusu lisu hakuna upelelezi unaoendelea ila swala hili ni maigizo tu na kuhadaa umma.
kuhusu cctv ... unataka tufuatte protocal za kihabari kwamba lazima mamlaka ziseme! wewe mbona huna mamlaka ya kusema serikali haiteki ama inateka?
kuhusu dr mwakyembe na roma. kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo utajua kuwa mwakyembe hajaenda kama wazir mwenye dhama? mbona juliana hajaenda kwa nondo?
wewe ni mwepesi sana mkuu
serikali ina mkono mrefu ungekuwa umeshawashika!Kwanini unatoa shutuma kwa Serikali kuwa ni watumishi wake wakati huna uthibitisho wowote kuwa ni watumishi wa Serikali
Wewe huwezi kutekwa ila kuteka!Utatekwa wewe na si mimi kamwe.
Kikwete alitoa taarifa baada ya sakata la UlimbokaSerikali haiteki watu na ndio maana baada ya Roma kutekwa kuna mtu fulani akajitokeza aksema "Roma atapatikana kabla ya jumapili jogoo halijawika" hapo Kumbuka Nape naye alikuwa ana press na watu wake wa MTAMA ikaja kiki ya ROma Kutekwa ikaiingiliana na issue ya NAPE.....Unganisha DOTs ndio utajua kwamba serikali huwa haiteki watu kama alivyosema kikwete.
Aliyemshikia nnape bastora anafanya kazi ndani ya serikali gani,nakuongezea na hili. siku ile ulimboka anafika pale mui2 alimtambua mmoja wa watu waliomteka na kumtesa.
ongeza na hili siku ile wakati roma anafanya press conference wazir mwakyembe alitoka dodoma na kwenda kwenye ile presa alienda kama nani pale na kwa nn alienda ?
nakuongezea na hili cctv kule kwenye makazi ya kisu dodoma ziliondolewa siku chache baada ya lisu kushambuliwa kwann ziliondolewa?
naongeza na hili, lisu ni mbunge iweje ashambuliwe bila serikali kumpata aliyeshambulia miezi karibu suta sasa? mbona nondo kapatikana haraka hivi.
je yupo wapi bwana Juma dogan yule kada wa ccm aliyemuokota kijana nondo msituni na kumpa pesa ya tax?
nakuongezea tena ni wapi nonfo alisema ametekwa? hadi wewe unaseema amejiteka
Aliyemshikia Nape bastora anatumwa na nani,Usitudanganye bwana ....Dr Ulimboka nakumbuka kabisa amesema hawajui waliomteka hizo dhana tu zinajengwa na watu kama wewe.
Kuhusu Roma na Dr Mwakyembe hakuna issue yoyote hapo na Roma hakuzuiwa na Dr Mwakyembe kuongea chochote ila alikuwepo kama waziri mwenye dhamana na mambo ya utamaduni na music ni sehemu mojawapo.Roma alikuwa free kuongea
Kuhusu cctv taarifa kuwa zilikuwepo au zimetolewa imetolewa na nani?
Lissu bado upelelezi unaendelea ukikamilisha taarifa itatolewa hata ukipita mwaka.siyo kazi yako.
Kuhusu Nondo taarifa ya awali ni kuwa amejiteka toka kwa Kamanda kanda maalum Dar.
Watu siku hizi hata common sense hawana!!!!!Tumia common sense japo skuizi sio common maana wengine hawana!! Unataka uletewe video ndoujue ama? Ushahidi was kimazingira unatosha was kimahakama siyo kazi nyepesi. Wanaofanya haya so wapuuzi wakikuona unakiburi unaweza sema wanakugwangala kabisa!! La unapigwa vitisho inabidi ukae kimya maana huwez shindana nao na huwa hawashtakiki duniani labda mbinguni!