Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,694
- 3,982
Nmejaribu sana kuangalia uzuri wake au ukisasa wake sijaona. Home mzee aliinunua Samsung Inch 49 Smart Curved TV. nmejaribu mara kadhaa kwenda weekend kuichunguza chunguza sijaona cha kunivutia.
Basi nikajinunulia inch 52 Smart Tv Flat Screen naenjoy Maisha. Full HD ,Blu Ray na Udambwi Dambwi mwingi sana.
Labda wataalam mnambie Uzuri wa Curved TV ni nini?
Basi nikajinunulia inch 52 Smart Tv Flat Screen naenjoy Maisha. Full HD ,Blu Ray na Udambwi Dambwi mwingi sana.
Labda wataalam mnambie Uzuri wa Curved TV ni nini?