Mpaka leo Sijaona uzuri wa Curved TV Ukilinganisha na Smart Flat TV

Ulipata muda wa kusoma ulichoandika?pia soma alichoandika CHIEF MKWAWA

Sio kweli.
Sijui curved uliyonunua.
Ila swala sio curved.

Ila iwe curved
Full HD 4K

halafu uwe na decoder ya HD inayotema kitu quality kama DSTV au uwe na android TV box utafute movie ya avatar ndo utaona ubora wa HD 4K

Elewa pia kuwa Tv zetu hakuna inayorusha matangazo yenye ubora wa HD le alone HD 4K quality.

Curved ukiweka tbc, itv, channel ten inayorusha chenga unategemea tv ifanye nini wakati signal zinazokuja ni hovyo?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipata muda wa kusoma ulichoandika?pia soma alichoandika CHIEF MKWAWA
Vipi nyie. Mi jirani yangu anayo hiyo Curved mnayosema kali, mimi nina TCL 55" Flat 1080 HD, mimi ndio nimeenda kumfungia stand ya ukutani. Tofauti hakuna kama ipo ni ngumu kutambua, ni kidogo sana.


Tatizo Tanzania Channel zs Full HD hakuna ipo moja tu ya Nabii GeorDavie hiyo ni Full HD. Zote nyingine upuuzi tu
Yeye ana DSTV na anatumia HDMI kama mimi. Kote sawa tu. Tofauti sijaona.

Watu wengi wanasoma specs halafu wanadhani kuna tofauti kuuuuubwa. Hamna kitu.

Ni kama alivyosema mshikaji mmoja humu, kama sebuleni amekaa demu nyuma yuko amejaa matata utageuza shingo tu hata kana wewe ni wa vi portable
 
Back
Top Bottom