Mpaka Leo Hatujawa Confirmed Nacte

Mpaka Leo Hatujawa Confirmed Nacte

Joined
Oct 20, 2015
Posts
26
Reaction score
1
Yan Eti Mpaka Leo Tarehe 4 Profile Zetu Zipo Pending Hatujawa Confirmed Hata Cjui Nini Cha Kufanya Kwakweli Wanatuweka Kwenye Wakati Mgumu
 
Yaaani ndugu Mimi nimepangiwa Udsm kupitia Nacte mpaka sasa sijaona jina kwenye website ya chuo Yaani ni hatari mkuu
 
Chuo gani?!na umejaribu kuwasiliana na NACTE?!
 
Mimi nimepangiwa udsm kupitia Nacte mpaka sasa confirmation sijapata inasikitisha sana wakuuu
 
Mkuuu #michael umepangiwa Wapi kaka kama confirmation ipo HV mikopo je itakuaj? tutapata Kweli.
 
Usiwe mzembe. Nenda kwenye chuo husika wakuangalizie jina lako kama lipo kuliko kukaa kulalamika. Dakika za majeruhi hizi...

mimi mwenyewe niko SELECTED NIT na jina langu lipo kwenye 1st batch ila kwenye system ya nacte wameandika '.... wanasubilia usibitisho kutoka chuo'
 
Back
Top Bottom