Kwa mara ya kwanza Kaunga leo kawa mhafidhina kama mimi............Siamini kama umeniunga mkono....................LOLNina mixed feelings hapa! Ni dream yangu iwe mpaka kifo kitutenganishe, lkn najua kuna baadhi ya vitu sitaweza kuvivumilia. Hivyo nami ningeapa "mpaka pale tutakaposhindwa kuishi pamoja"
Huu ukilaza huu, hata sijaelewa........... Hebu tufasirie sisi tusiojua hiyo lugha, maana naamini unakijua kiswahili vizuri na ndio maana umelewa mada hii na ndio maana umechangia......................i also still believe in 'For As Long As We Both Shall Live'. if I'm marrying my bf then I'm committing my life to him bcoz I love him and i dont want to be without him.
i also still believe in 'For As Long As We Both Shall Live'. if I'm marrying my bf then I'm committing my life to him bcoz I love him and i dont want to be without him.
nimeoa . . . . .