Mpagani humtongoza vipi mlokole?

Mtafute umwambie ukweli, mapenzi na ulokole ni vitu viwili tofauti. Kama anahisia za upendo atakubali tu, cha ziada inabidi uangalie kama ana mahusiano na mtu mwingine ili hata anakukataa chanzo kisiwe Ulokole wake.
 
Kama kweli unampango naye mfuate tu. Mi my wife alikuwa mlokole nilikomaa mpaka kikaeleweka. She was still a v... Now tunaenjoy maisha ya ndoa kusali hajaacha pia amenibadilisha sana kutoka uplayer na kuwa mume mwema.
 
You simply don't deserve her
 
Tumia verse za mfalme Suleiman yani hachomokii.... Maneno mawili matatu kisha unatupia mistari toka wimbo ulio bora yani lazima ufanikishee [emoji23] [emoji23]
 
Kwani ww umefungiwa kwenye upagani? simple sana okoka uone utakavyompata kirahisi ila kubali kuwa hutokula tunda mpaka baada ya chereko chereko ya harusi yenu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…