GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,449
- 127,623
Okoka kwanza......
Mtongoze na vifungu vya Bibilia...
sasa kaka Jambazi mapenz nayo yameokoka? Mimi mambo ya imani hua siyawazii kabsaaa hata nikioa mpaganiii ili mradi tu ana moral values. Wakristo na Waislamu wengi ni wanafiki wanaamini kile wasichokifanyaBiblia inafundisha wazi kwamba mtoto wa Mungu anastahili kujitenga na dunia. "Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maan pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza? Tean pan ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja nay eye asiyeamini? Teena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maan sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea name nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. Kwa hiyo tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, msiguze kitu kilicho kichafu, name nitawakaribbisha, asema Bwana "(2 Wakorintho 6:14-17; angalia pia 1 Petro 1:14-16).
yaani sili, silali na hata choo sipati pia.Niseme tu ukweli kuna dada mmoja ambae ni mlokole aliyetukuka nakaa nae jirani na ni mzuri hadi nahisi wakati mwenyezi Mungu anamuumba alikuwa katika ubora wake, ila napata tatizo na naingiwa na mashaka katika kumtokea na kumtongoza kwakuwa ananijua fika kuwa mimi ni mpagani niliyetukuka lakini kiukweli ninampenda mno na sana yaani sili, silali na hata choo sipati pia.
Naomba kwa wale ambao mna mbinu za ziada za utongozaji mnisaidie ili na mimi niweze kumtokea huyu dada ili awe wangu na kiukweli kama nikifanikiwa tu kuwa nae naacha rasmi kuwa " mr. chomeka chomeka " na nitatulia nae hadi kifo kije kututenganisha.
Asanteni na karibuni.
Kaka...kuna jukwa la Dini/Imani huwa naliona but kila nikijarbu uingiamo no topic. Sasa Nina swali langu la kibiblia kidogo nilitaka kuuliza I don't know niliulize wap ...can you help??!Biblia inafundisha wazi kwamba mtoto wa Mungu anastahili kujitenga na dunia. "Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maan pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza? Tean pan ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja nay eye asiyeamini? Teena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maan sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea name nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. Kwa hiyo tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, msiguze kitu kilicho kichafu, name nitawakaribbisha, asema Bwana "(2 Wakorintho 6:14-17; angalia pia 1 Petro 1:14-16).
Kaka...kuna jukwa la Dini/Imani huwa naliona but kila nikijarbu uingiamo no topic. Sasa Nina swali langu la kibiblia kidogo nilitaka kuuliza I don't know niliulize wap ...can you help??!