asante, tatizo ni kuwa nilikuwa nime bookmark vitu vyangu vingi sana, nifanyejeTumia OperaMini iko poa sana
ni ya pc,, nimetoa ya zamani kabla ya ku install mpya1. hio ni firefox ya pc au simu?
2. umeinstall hio mpya kabla ya kutoa ya zamani?
pengine imefungiwa na TCRA, jaribu kuiangalia kama ni original.Chief-Mkwawa simu ina tatizo nikiweka simcard ya halotel inasoma vizuri lakini nikiweka za voda zinakataa kusoma kabisa nimejaribu simcard zaidi ya moja za voda hazisomi ni samsung galaxy S4
nimesahau namna ya kuangalia ni namna ganipengine imefungiwa na TCRA, jaribu kuiangalia kama ni original.
ingia hii site,nimesahau namna ya kuangalia ni namna gani
chief ni tatizo gani, sikutegemea mozilla ishindwe kufanya kazi. Nimepeleka kwa IT hakufanikiwa kunisaidiapengine imefungiwa na TCRA, jaribu kuiangalia kama ni original.
mkuu kama umetoa ya zamani, kuna uwezekano na bookmarks zako zimeondoka, uliwahi kuzi backup online na account ya firefox?.ni ya pc,, nimetoa ya zamani kabla ya ku install mpya
mkuu kama umetoa ya zamani, kuna uwezekano na bookmarks zako zimeondoka, uliwahi kuzi backup online na account ya firefox?.
kwa sasa hivi jaribu kuitoa hiyo firefox kwa kufanya full unistall, tumia program kama iobit uninstaller halafu eka upya tena hio firefox. vyema udownload latest version toka site yao.
Wataalamu nisaidieni. Mozilla browser haifanyi kazi. Nadhani ime-crush. Nimejaribu ku install upya inaleta pop message kuwa Your Mozilla Fire Fox profile is unavailable or not accessible...
Ukiwasha profile haiji, muonekano wa screen hauko kama ilivyokuwa zamani.
is that true, tafadhali nina shida siyo utaniWameshairekebisha masaa machache yaliyopita. Ilikuwa ni tatizo la dunia nzima sasahivi iko poa
utani mwingine hafai kwenye shida pleaseSijui kama itafanya kazi hii
Tumia moziila firefix itaifix firefox.
Mashart usiwe na kibamia ndio inadetect.
Teh teh
Mmenuna kama na nyie mmezingirwa na general chiwanga na wenzie.
chief eti ni kweli kuna mwenzetu hapa amesema eti ilikuwa na tatizo dunia nzima na sasa wamerekebisha. Is that possible
kuna uwezekano mkubwa anazingua, sababu firefox sio website, ni browser. na kazi ya browser ni kuturahisishia tu hizo website kwa maandishi na mapicha, ni ngumu browser iende offline, unless ni server based browser kama operamini na ucweb mini.chief eti ni kweli kuna mwenzetu hapa amesema eti ilikuwa na tatizo dunia nzima na sasa wamerekebisha. Is that possible