Mozambique vs Taifa Stars | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mozambique vs Taifa Stars

Discussion in 'Sports' started by Lucchese DeCavalcante, Apr 23, 2011.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wakuu hawa jamaa tunacheza nao international friendly ya kufungua uwanja wao kule Maputo vipi matokeo? Nakumbuka jamaa walitufunga 1-0 kwa bao la Tico Tico ikiwa mechi ya mwanzo kabisa kwenye uwanja mpya wa Taifa
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Hadi sasa tumelala 1-O half time sasa
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Nimecheki TBC hawaonyeshi, sijui wapi wanaonyesha huko!!
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Vipi kuna Jipya??
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,414
  Likes Received: 19,726
  Trophy Points: 280
  duh, kweli nchi yetu ni bonge la nchiiiii):):): yaani karne hii timu ya taifa inacheza na hakuna kanal inayoonyehs? au kanali gani mazee inaonyesha?
   
 6. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Vipi second half haijaanza kwenye dimba la jipya linalochukua watazamaji waliokaa 42,000 lililojengwa kwa msaada wa watu wa China?
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,414
  Likes Received: 19,726
  Trophy Points: 280
  information technology
   
 8. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Mpira umeisha hapa zimpeto sasa ni adha ya foleni kurudi makwetu.Moçambique 2-0 Tanzania.wajukuu zetu wanatuabisha kwa mara nyingine tena
   
 9. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Kichwa cha mwendawazimu. Kila mtu anajifunza kunyoa.
   
 10. m

  matunge JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Tido Mhando Tutakukumbuka daima!!
   
 11. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2011
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  hahahahahha Tunammiss TIDO

  huyu anayekaimu sijui ni mpenzi wa nini labda taarabu hahahahahahhahhaha mambo ya pwani maana ndiyo mambo ya TBC weekend
   
 12. g

  gutierez JF-Expert Member

  #12
  Dec 5, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  halafu tunakutana nao hao msumbiji tena ktk kugombea kucheza kombe la afrika 2013 sauzi afrika ktk raund ya pili halafu mshindi anakutana na timu 1wapo kati ya 16 zitazoshiriki africa cup of naqtions 2012 huko gabon na guinea ya ikweta,ndio sheria mpya washindi wa raundi ya pili wote watakutna na washiriki wa afcon 2012 mshindi anaenda sauzi afrika kujiunga na mwenyeji sauzi afrika ktk kushiriki afcon 2013
   
Loading...