moyo wangu unataka kupasuka

Me mwenzako alisema anakuja akitoka job,duu joini kanitext "Me nasepa hom"
Daa maandalizi yote kuleeee
 
kwa mtazamo wangi nhisi ningempatia pesa simu isingezima chaji. na si kawaida kunambia simu inazima chaji na wakati alishinda nayo
kwahiyo unafikiri kama simu ipo hdewani ndo hawezi kugongwa
 
thanx. but what should be the way forward.. stay in this relationship or just quit?? advise plz
her mobile went off charge what will u do? remember always there is tommorrow, stop creatin sme mental disoder jus relax abit do ya ting huyo kuku wako
 
Hii hela ya MB ungempa usingekuwa unataka kupasuka hapa
 
Ahaaaaaaa sasa utafanyaje na hiyo buku mbili? Si ungemfata hizi uzimie mazima? Ila komaa na kutotafta pesa baba walezi watakulelea vip umeshamnunulia simatifoni?
 
Huyo kaenda kutafunwa, kuna mjanja kamtumia hela ya bajaji na anasubiri kwa hamu ajishindie bao za kutosha na kuufanya usiku uwe mfupi!...... Kama namuona shem anavyolalama baada ya fyagio la chuma kupita
 
Ndo wAnavuw kyupi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unajua kwao hakuna umeme halafu unalalama simu yake kuisha chaji????
 

"Kwao hakuna umeme" kumbe anaishi kwao alafu aashinde na alale na njaaa! Hacha ubwege wewe za kuambiwa changanga na zakwako
 
Ameshinda na njaa na analala na njaa, bado una nguvu ya kuja kupost hapa?!
 
Mwanamke kulala njaa umependa kushinda na njaa umependa, huyo mwanamke wakulala na njaa siku mbili atakua kaamua bhana khaaaa
 
mapenzi pesa mkuu otherwise utaendelea kuwaona wanawake wote sio wavumilivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…