yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,917
- 4,170
siku ukikua utazoea tu.Ni jioni ya leo madam mrembo wangu kipenzi kanipigia simu anasema mpenzi nimeshinda njaa leo na hadi sasa sina hela ya kula kwahiyo nalala njaa tena, naomba hela ya kula.
Mwanaume nlikuwa na buku mbili tu mfukoni, nikamwambia baby sina kitu vumilia tu nkipata ntakutumia kama navyokutumiaga. Akasema haya poa ngoja nilale njaa.
Mara ikaingia text eti simu yangu inazima chaji mpenzi (kwao hakuna umeme). Kuisoma ile nikachanganyikiwa, nikahisi ndo sijui kaenda kutafuta pesa kwa njia zipi... hadi dakika hii napiga simu mrembo hapatikani... moyo unataka kupasuka, usingizi hauji [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
mateso kuhangaika. sijui yuko anatafunwa.... dahUna buku mbili tu. Hapo bado hawajaanza kukuta kodi yao.
Kama ungemtumia angepokea jero. Wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika.
Pole
Ni jioni ya leo madam mrembo wangu kipenzi kanipigia simu anasema mpenzi nimeshinda njaa leo na hadi sasa sina hela ya kula kwahiyo nalala njaa tena, naomba hela ya kula.
Mwanaume nlikuwa na buku mbili tu mfukoni, nikamwambia baby sina kitu vumilia tu nkipata ntakutumia kama navyokutumiaga. Akasema haya poa ngoja nilale njaa.
Mara ikaingia text eti simu yangu inazima chaji mpenzi (kwao hakuna umeme). Kuisoma ile nikachanganyikiwa, nikahisi ndo sijui kaenda kutafuta pesa kwa njia zipi... hadi dakika hii napiga simu mrembo hapatikani... moyo unataka kupasuka, usingizi hauji [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Mawazo yako tu. Amekwambia analala na njaa pia simu yake chaji imeisha relax tumateso kuhangaika. sijui yuko anatafunwa.... dah
Ni jioni ya leo madam mrembo wangu kipenzi kanipigia simu anasema mpenzi nimeshinda njaa leo na hadi sasa sina hela ya kula kwahiyo nalala njaa tena, naomba hela ya kula.
Mwanaume nlikuwa na buku mbili tu mfukoni, nikamwambia baby sina kitu vumilia tu nkipata ntakutumia kama navyokutumiaga. Akasema haya poa ngoja nilale njaa.
Mara ikaingia text eti simu yangu inazima chaji mpenzi (kwao hakuna umeme). Kuisoma ile nikachanganyikiwa, nikahisi ndo sijui kaenda kutafuta pesa kwa njia zipi... hadi dakika hii napiga simu mrembo hapatikani... moyo unataka kupasuka, usingizi hauji [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
duh kwahiyo yuko unatundikwa??? ngoja nikajiliwaze huko mtaani tuHa ha ha. Subiri utamuuliza vizuri kesho kwamba katundikwa bao ngapi kidharura dharura. Kuna watu ni opportunists!! Ila usikonde mkuu. Teh teh
thanx. but what should be the way forward.. stay in this relationship or just quit?? advise plzKuwa Mwanaume Means Being Brave A Person That Dont Get Trembled Easly Jus Relax Abit Do Ya Thng