Moyo wako ungefanya nn unazani?

Khaleed Shaban

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
399
58
Habari zenu wana jf? Ni hivi kuna rafikiangu ana mpenzi wake na jana tu kaja kuniomba ushauri ambao nimekosa majibu ivyo naombeni mnishauri ili nipate la kumwambia ilikua hivi yeye alikua na mpenz wake wakati anasoma chuo but baadae mpenz wake akasafiri nje ya nchi kusoma zaid,baada ya kufika uko mawasiliano na mchizi yakapungua na atimae kuisha kabisa,mchizi akapata mtoto wa kinyatulu akamdatisha na hatimae kutangaza ndoa ambayo inatakiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu ila majuzi demu wake wa aliesafiri kwenda nje ya nchi kusoma amerudi na mchizi anadai bado anampenda na huyu wa sasa bado anampenda ukizingatia katangaza kumuoa akiniomba ushauri kisha akaniuliza kua kama ungekua ww moyo wako ungefanya nn unazani wakati mm bado nawaitaji wote? Nawasilisha mada kwenu wana jf
 
anawahitaji wote kivipi? Mwambie achague moja mmoja wapo aoe. Mambo ya anawapenda wote ni dalili ya kutaka kuchepuka
 
Huwezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja,awe na uamuzi mgumu tu aendelee na mmoja
 
Huyu aliyenaye amefanya nae michakato yote na watu wanasubiria vikao na sherehe wahishuhudie... tena atakapo mwacha huyu aliyenaye kwa walipofikia ni dhahiri kabisa huyu aliyenae atadhalilika kwa ndugu na marafiki..... ila kama yupo tayari kumfanya awe na historia mbaya katika maisha yake basi sawa....

MUHIMU: kama bond kati ya yeye na huyo wa sasa hivi ni ndogo kuliko aliyekuwa nae... basi ni bora kuchukua maamuz magumu....
 
alivyoamua kutafuta mwengine na kutangaza ndoa, hakujua kuwa ipo siku huyo wa zamani kama atarudi, mwambie ajifunze kusimamia maamuzi yake.
 
Akifanya kosa moja.. Atakosa wote. Trust me, unapokaribia kuoa au kuolewa, vishawishi vya wale wanaojifanya wana real love huanza. Unachohitaji ni msimamo.
^^
 
Back
Top Bottom