Moyo wa kuhonga unanipeleka pabaya

Moyo wa kuhonga unanipeleka pabaya

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,831
Nakumbuka Enz Hzo
Demu Wangu Nilimhonga Pesa Ya Ada Kwa Ajili Ya Malipo Ya Hostel
Pia Pale Nilipompa Smatfon Ya Bei Mbayaa...
Demu Wng Flan Hv... Nam Kubaki Na Kisim Cha Tochi Cha Kufunga Kwa Manati
Kuhonga Nimehonga Sana Na Ninazidi Kuhonga
Tena Bila Kuambiwa
Na Tukiachana Huwa Sidai
Pamoja Na Umaskini Wangu Lakn Ktk Suala Hilo Mi Niko Vizur Kwa Kweli
Sijui Itakuwaje Siku Nikipewa Nchi!!?
 
Unamdai wakati ulimpa we mwenyewe bila kulazimishwa unaanzaje..

Kuhonga ni kipaji na we naona una hiko kipaji
 
honga tu mkuu,ukiishiwa kabisa utajajihongesha
 
Honga tu mkuu.

Nisipoonga Situlii Mimi
Niliwahi Honga Friji Demu Wangu Flani Hivi
siku Nikakuta Jamaa Nimewekewa Maji Ya Baridi Na Mabusu
Tukaachana Na Fliji Sikumdai
 
Back
Top Bottom