Moyo tulia

Moyo tulia

coolgal

Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
58
Reaction score
75
Naimani utapata mwanaume sahihi na utafurai milelele yote

Sio yule anae kufanya sexy machine yani akutumie anapo kuitaji akimaliza aja zake akutupe awe bize na Mambo yake inajirudia [emoji817]

Wadada Kama wewe ni sexymachne ushituke mapema

Wakaka Kama wewe ni ATM machine shituka

Moyo una haki ya kutulia naimani utatulizwa kwenye bustani ya upendo

Mwenye penzi la dhati aje pm

Kama jujibiwi jua hi ujui kushawishi mwanamke [emoji857]
 
Ngoja nije fasta kabla ya foleni[emoji16][emoji16]
 
Moyo tulia mjini kuna vya watu
Isije kulia kama ujiamini na chetu
Hakika nuia usipende vyawatu

Mjini shule kila mtu anajua
Ukiona mvule jua Fundi ajua
Moyo si mshale kutupa kukitia

Moyo tulia uridhike na unachojua usije kulia kwa mapenzi mjini tulia
Kuna madude ya nguvu yasije kukuvamia

Mjini kuna kina felister Shunie
Ujue hawatokuachia ukiwa huzuni
Moyo utafuatiwa Kama utuzabuni

Moyo tulia mjini bungeni kuna tulia
Kama utalazimika sebuleni salamu
Nitolea niahidi Moyo uje tulia

Tamati namaliza Moyo nakuusia usije ona vyaelea jua vimeundwa
Tulia Moyo tulia shukuru kuundwa
 
Naimani utapata mwanaume sahihi na utafurai milelele yote

Sio yule anae kufanya sexy machine yani akutumie anapo kuitaji akimaliza aja zake akutupe awe bize na Mambo yake inajirudia [emoji817]

Wadada Kama wewe ni sexymachne ushituke mapema

Wakaka Kama wewe ni ATM machine shituka

Moyo una haki ya kutulia naimani utatulizwa kwenye bustani ya upendo

Mwenye penzi la dhati aje pm

Kama jujibiwi jua hi ujui kushawishi mwanamke [emoji857]
the storm is over....
 
Huyu m nlimwambia turushiane mito na magodoro,, akamsikiliza demiss ona sasa anavojichelewesha [emoji16][emoji23]

Njoo tupete mchele na karanga pamoja

Nikupikie misosi ya kiumeni hadi[emoji16][emoji3]

Unavochelewa wife tambua future husband punde nitakuwa bookn'g

Si unajua humu jf nikomcharuko ila huku uswazi niko mpoleeeeeeeeeeee
 
Huyu mmama anahangaika sana humu. Nyuzi kibao!

Nikuulize kwanza... unakifahamu kipaumbele cha kwanza kabisa cha mwanaume kwako mwanamke?

-Kaveli-
 
Naimani utapata mwanaume sahihi na utafurai milelele yote

Sio yule anae kufanya sexy machine yani akutumie anapo kuitaji akimaliza aja zake akutupe awe bize na Mambo yake inajirudia [emoji817]

Wadada Kama wewe ni sexymachne ushituke mapema

Wakaka Kama wewe ni ATM machine shituka

Moyo una haki ya kutulia naimani utatulizwa kwenye bustani ya upendo

Mwenye penzi la dhati aje pm

Kama jujibiwi jua hi ujui kushawishi mwanamke [emoji857]
Sante
 
Mi ninaenda zangu kutafuta kahaba nimuoe mana nimesikia wanauona ufalme wa mbinguni
 
Back
Top Bottom