Moyo tulia

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
1,080
Reaction score
1,451
[emoji172][emoji179]TULIA MOYO[emoji172][emoji179]

Subira yangu imashakani kwa kukosa maskani
Moyo utaabani kwa kukosa tulizo la ndani
Vizuri navitamani eti kisa mimi maskini
Tulia Moyo tulia Mola hutoa kwa qadar

Sababu ya penzi wengi wako mashakani
Vijana wetu wadogo umagharibi waathiri
Nguvu kazi yapotea hujinyonga kwa mapenzi
Tulia Moyo tulia Mola hutoa kwa qadar

Penzi kitovu cha uzembe omba yasikukute ya ngoswe
Moyo hupata shida kwakila uonacho hutamani
Si vijana si wazee woote huwapa tafarani
Tulia Moyo tulia Mola hutoa kwa qadar

Mola akipanga kiwe chako kitakuwa tu cha kwako
Chunga sana kwa waganga ukaenda kumshiriki Mola wako
Kwa sababu wataka chako chako
Tulia Moyo tulia Mola hutoa kwa qadar

Kalamu naweka chini chunga sana usijighini
Tuombe kwa mola subira moyo upate tulia
Yaa Rabbana yaa Kahar tupe bora maskani
Mola katupa wanne watano unakufuru
Tulia Moyo tulia Mola hutoa kwa Qadar
…………
………………………………
……………………
……………
… Abuu Abdillahllah FOLLOW ISTAGRAM AND TWITTER Abuu Abdillah
 
Hiyo Verse ya 3 bana mie nakataa..

Nikiwaona madem wengine kitaa, sokoni, town popote pale... Huwa hata sinaga time nao....

Yaan nawaona kama mawe sio mawe... Migomba sio Migomba...

Sababu nikianza kuwa compare na manzi wangu...
HAWAMFIKII hata ROBO. Kwa kila kitu mazee.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…